picha

ALIF LELA U LELA: UTANGULIZI

ALIF LELA U LELA.

ALIF LELA U LELA: UTANGULIZI

ALIF LELA U LELA.

UTANGULIZI


Download kitabu Hiki Bofya hapa
Hizi ni hadithi zilizoenea duniani kote na zimekuwa zikisimuliwa kwa watot na hata watu wazima. Hadithi hizi zina asili ya bara la arabu. Hadithi hizi zimekuwa zikitafasiriwa kwenye lugha nyingi sana. Neno ALIF LELA U LELA lina maana miaka elfu moja na moja. Na hadithi hizi hufhamika kwa lugha ya kiingereza kama ARABIAN NIGHT.

Hadithi hizi zimetafasiriwa katika lugha nyingi mpaka katika lugha za kiswahili. Changamoto ya masimulizi haya ni kuwa yamesheheni lugha ngumu sana kulinganisha na uhalisia wa maisha yetu ya leo. Hivyo inakuwa vigumu kuelewa baadhi ya manenno nini hasa kimekusudiwa. Pia tamaduni zilizotumiwa na wahusika wa hadithi hizi ni za kiarabu, kihindi na kiajemi kiasi kwamba ni ngumu kuelewa baadhi ya vipengele.

Baada ya kuliona hili nimejaribu kutohoa hadithi hizi na kuziweka katika lugha iliyo rahisi kabisa na inayoendana na mazingira ya wakati huu. Hadithi hizi nimezigawa kwenye vitabu kadahaa na tayari kitabu cha kwanza kimekamilika kikiwa na hadithi zaidi ya 60. Unaweza kupata hadithi hizi kama PDF kwa bei poa.


                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Aliflela1 Main: Post File: Download PDF Views 2294

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Bongolite - Game zone - Play free game     👉4 Kitabu cha Afya     👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉6 kitabu cha Simulizi    

Post zinazofanana:

Kuelekea bonde la uokozi

Posti hii inakwenda kukupa muendelezo wa safari saba za Sinbad

Soma Zaidi...
SAFARI YA PILI YA SINBAD

Download kitabu Hiki Bofya hapa SAFARI YA PILI YA SINBAD Basi siku ile Sinbad mbeba mizigo aliwahi haraka sana na mapema zaidi, na akamkuta Sinbad wa baharini ameshakaa na watu wake wanamsubiri kuanza hadithi.

Soma Zaidi...
alif lela u lela

Download kitabu Hiki Bofya hapa Kupata mwendelezo wa hadithi hii Download App yetu.

Soma Zaidi...
JINI NA MFANYABIASHARA

Download kitabu Hiki Bofya hapa HADITHI YA JINI NA MFANYA BIASHARA.

Soma Zaidi...
SAFARI YA MAJIBU JUU YA MASWALI MAWILI

Download kitabu Hiki Bofya hapa SAFARI YA MAJIBU JUU YA MASWALI MAWILI.

Soma Zaidi...
Hadithi ya tabibu wa mfalme

Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela

Soma Zaidi...