(xiii)Huwa muaminifu
Waumini wa kweli waliofuzu huchunga amana.
(xiii)Huwa muaminifu
Waumini wa kweli waliofuzu huchunga amana. Hutunza amana aliyopewa na kuirejesha au kuitumia kwa mujibu wa maelekezo ya mwenyewe.
Amana kuu aliyopewa mwanaadamu na Mola wake ni kule kufadhilishwa kwake kuliko viumbe vingine vyote ili asimamishe Ukhalifa (utawala wa Allah) katika ardhi kama tunavyokumbu shwa katika Qur-an:
βKwa yakini Sisi Tulidhihirisha amana kwa mbingu, ardhi na milima,vikakataa kuichukua na vikaiogopa,lakini mwanaadamu aliichukua. Bila shaka yeye ni dhalimu mkubwa, mjinga sana β. (33:72)
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
π1 kitabu cha Simulizi π2 Kitabu cha Afya π3 Madrasa kiganjani π4 Dua za Mitume na Manabii π5 Kitau cha Fiqh π6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Post zinazofanana:
Neno la awali
Asalaamu alykum warahmatullah wabarakaatuh Sifanjema zinamstahikia Allah Mola wa viumbe, muumba wa mbingu na ardhi na vilivyomo.
Soma Zaidi...Kitabu Cha Quran na sayansi
Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.
Soma Zaidi...Je wajuwa kuwa jua hujizungurusha kwenye mhimili wake?
Tulipokuwa shule tulisoma kuwa jua halizunguruki, ila dunia ndio huzunguka jua.
Soma Zaidi...