Zoezi 2:2
Zoezi 2:2
1.Malaika ni
2.Toa tofauti nne (4) zilizopo kati ya Malaika na binaadamu.
3.Orodhesha kazi kumi (10) za malaika zenye mahusiano na bin a adam u.
4.Muumini wa kweli wa Malaika ni yule anayefanya yafuatayo:-(a) (b) (c) (d)
5.Taja vitabu vinne (4) vya Allah (s.w) vilivyohadithiwa katika Qur-an na Mitume walioshushiwa.
6.Len go la kushushwa vitabu vya Allah (s.w) ni
7.“Hakika ni juu yetu kutoa mwongozo.” (92:12) Pamoja na binaadamu kupewa akili na elimu hana uwezo wa kujiundia njia sahihi ya maisha kwa sababu zifuatazo:
(a)
(a)
(b)
8.Toa tofauti nne (4) zilizopo kati ya Qur-an na vitabu vingine vya Allah (s.w).
9.Muumini wa kweli wa Qur-an ni yule anayefanya yafuatayo:
(a)
(b)
10.(a) Mitume wa Allah (s.w) ni
(b) Mitume wameletwa ili
(c)Waumini wa kweli wa Mitume wa Allah (s.w) ni wale wenye tabia zifuatayo:
(i)
(ii)
(iii)
(iv)
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉2 Kitabu cha Afya 👉3 Simulizi za Hadithi Audio 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 Kitau cha Fiqh 👉6 Madrasa kiganjani
Post zinazofanana:
quran na sayansi
QURANI KATIKA ZAMA ZA SAYANSI NA TEKNOLOJIAAsalaalaamu alykum warahmatullah wabarakaatuh.
Soma Zaidi...Husaidia wenye matatizo katika jam ii
Huwa wepesi wa kutoa msaada kwa hali na mali kwa wanaadamu wenziwe wanaohitajia msaada.
Soma Zaidi...