MARADHI MENGINE 10 YANAYOTOKANA NA MBU ( matende, ngirimaji, homa ya manjano, n.k

MARADHI MENGINE 10 YANAYOTOKANA NA MBU ( matende, ngirimaji, homa ya manjano, n.k

Tofauti na maradhi yaliyotajwa hapo juu pia tafiti za kisayansi zimethibitisha kuwepo kwa maradhi mengine hatari yanayosambazwa na mbu, kama vile ngirimaji pamoja na matende.

MARADHI MENGINE 10 YANAYOTOKANA NA MBU ( matende, ngirimaji, homa ya manjano, n.k

Magonjwa mengine ni:-

Tofauti na maradhi yaliyotajwa hapo juu pia tafiti za kisayansi zimethibitisha kuwepo kwa maradhi mengine hatari yanayosambazwa na mbu, kama vile ngirimaji pamoja na matende. Karibia watu wengi wanaoishi maeneo yenye joto watakuwa wameshuhudia namna ambavyo ngiri ilivyo. Sambamba na ngiri maji na matende yapo maradhi mengine 8 ambayo huenezwa na mbu. Maradhi hayo ni:-

  1. homa ya manjano
  2. Heartworm
  3. Western Equine Encephalitis (WEEV)
  4. Louis Encephalitis (SLEV)
  5. La Crosse Encephalitis (LACV)
  6. Japanese Encephalitis Virus (JEV)
  7. Eastern Equine Encephalitis (EEEV)
  8. Western Nile virus (WNV)
  9. Matende
  10. Ngiri maji

 



                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Views: 2253

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 web hosting     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Bongolite - Game zone - Play free game     👉5 Dua za Mitume na Manabii     👉6 Kitabu cha Afya    

Post zinazofanana:

Vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume

Suala la nguvu za kiume limekuwa likijadiliwa kwa miaka mingi, mara nyingi likiambatana na ahadi za miujiza na tiba za siri. Makala haya yanachambua ukweli wa kisayansi kuhusu jinsi lishe inavyoweza kuimarisha uwezo wa kiume, yakitaja vyakula halisi vinavyoboresha mzunguko wa damu na homoni, pamoja na kufanya tathmini ya ukweli (fact check) dhidi ya dhana potofu zilizosambaa mitaani.

Soma Zaidi...
Umuhimu wa kliniki na vipimo kwa wajawazito.

Ujauzito ni kipindi cha mabadiliko makubwa ya kimwili, kihisia, na kisaikolojia. Huduma za kliniki kwa wajawazito (Antenatal Care - ANC) ni nguzo muhimu inayohakikisha mama anakuwa na afya njema na mtoto anazaliwa akiwa salama. Makala hii inaangazia kwa nini kila mjamzito anapaswa kuhudhuria kliniki na umuhimu wa vipimo mbalimbali vinavyofanyika katika kipindi hicho.

Soma Zaidi...
Namna ya Kudumisha Upendo Kwenye Ndoa

Kudumisha upendo katika ndoa ni mchakato endelevu unaohitaji jitihada, uelewano, na heshima kutoka kwa pande zote mbili. Post hii inatoa mwongozo wa vitendo kuhusu jinsi ya kurejesha cheche ya mapenzi na kuimarisha uhusiano wenu wa ndoa ili uwe na furaha ya kudumu.

Soma Zaidi...
Dalili za Saratani ya utumbo mdogo.

Posti hii inaonyesha ishara na dalili za Saratani ya utumbo mdogo

Soma Zaidi...
Fahamu Ugonjwa wa kaswende

Kaswende ni maambukizo ya bakteria ambayo kawaida huenezwa kwa kujamiiana. Ugonjwa huu huanza kama kidonda kisicho na maumivu kawaida kwenye sehemu zako za siri, puru au mdomo. Kaswende huenea kutoka kwa mtu hadi mtu kupitia ngozi. Kaswende ya Mapema

Soma Zaidi...
Dalili na Ishara za mawe kwenye figo

Mawe kwenye figo yana sababu nyingi na yanaweza kuathiri sehemu yoyote ya njia yako ya mkojo kutoka kwa figo hadi kibofu chako.

Soma Zaidi...