Faida za kiafya za kula Karoti

Faida za karoti
- karoti ina virutubisho kama sukari, fati, protini, vitamini A, B, K na madini ya potassium.
- Hupunguza hatari ya kupata saratani
- Hususha cholesterol
- Husaidia kupunguza uzito
- Husaidia kuboresha afya ya macho
- Karoti ni nzuri kwa afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
- Husaidia kudhibiti ugonjwa wa kisukari
- Husaidia kulinda na muimarisha afya ya moyo na mishipa ya moyo
- Husaidia kuboresha na kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
- Karoti ni nzuri kwa afya ya mifupa
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Dua za Mitume na Manabii 👉2 kitabu cha Simulizi 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 web hosting 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Kitau cha Fiqh
👉1 Dua za Mitume na Manabii 👉2 kitabu cha Simulizi 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 web hosting 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Kitau cha Fiqh
Post zinazofanana:
Fahamu Vitamini E na nz kazi zake, vyakula vya vitamini E na athari za upungufu wake
Katika makala hii nitakwenda kukupa somo linalohusu vitamini E, kazi zake, chanzo chake na madhara ya upungufu wake
Soma Zaidi...Faida za kitunguu maji/ onion
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu umuhimu wa kitunguu maji mwilini
Soma Zaidi...Kazi za vitamini B mwilini Na upungufu wa vitamini B mwilini
vitamini B vipo katika makundi mengi kma aB1, B2, B3, B5, B6, B7 na B12. Makala hii itakwenda kukutajia kazi kuu za Vitamini B katika miili yetu
Soma Zaidi...Vyakula vya vitamin C
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za vyakula vya vitamin C
Soma Zaidi...