Faida za kiafya za kula samaki

Faida za kiafya za kula samaki

Faida za kiafya za kula samaki



Faida za kiafya za kula samaki

  1. samaki wana virutubisho kama protini, fati, vitamini kama vitamini D na madini mbalimbali kama iodine.
  2. Hupunguza hatari ya kupata maradhi ya moyo kama shambulio la moyo na stroke
  3. Ni chakula kizuri kwa ukuaji bora wa mtoto
  4. Husaidia katika ukuaji wa ubongo na afya ya ubongo
  5. Hupunguza stress na misongo ya mawazo
  6. Ni chanzo kikubwa cha vitamini D
  7. Hulinda mwili dhidi ya kupata kisukari
  8. Huzuia pumu kwa watoto
  9. Huboresha afya ya macho hasa kwa wazee
  10. Husaidia kupata usingizi mwororo
  11. Samaki ni chakula kitamu.


                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views: 2989

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio     👉2 web hosting     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Dua za Mitume na Manabii     👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    

Post zinazofanana:

Sababu za maumivu ya tumbo baada ya kula

Zijuwe sababu kuu za kuwepo kwa maumivu ya tumbo baada ya kula chakula

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za viazi vitamu

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula viazi vitamin

Soma Zaidi...
Faida za pilipili

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za pilipili

Soma Zaidi...
Dalili za ukosefu wa madini ya iodini (goiter)

Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili za upungufu wa iodini ambapo kitaalamu hujulikana Kama goiter. Goiter Ni Sababu ya kawaida ya goiter duniani kote ni ukosefu wa iodini katika chakula. Nchini Marekani, ambako utumiaji wa chumvi yenye iodini ni j

Soma Zaidi...
Faida za kula karoti

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kula karoti

Soma Zaidi...