Ni mali ipi inatakiwa kutolewa zaka?

Ni mali ipi inatakiwa kutolewa zaka?

Ni mali ipi inatakiwa kutolewa zaka?

Mali inayojuzu kutolewa Zakat, Nisaab na kiwango cha Zakat



Aina ya mali inayojuzu kutolewa Zakat imeelezwa kwa wazi katika


Qur-an na Hadith sahihi. Mali inayojuzu kutolewa Zakat ni ile iliyofikia au kuzidi kima maalum kiitwacho Nisaab na kubakia katika milki ya mwenye hiyo mali kwa kipindi chote cha mwaka mmoja. Kila aina ya mali ina nisaab yake, Nisaab ni kiwango cha mali kinachostahiki kitolewe Zakat. Aina ya mali inayojuzu kutolewa Zakat ni:



(i)Mazao yote ya shambani
(ii)Wanyama wafugwao kwa ajili ya chakula
(iii)Dhahabu (gold), fedha (silver), au fedha taslim (cash)
(iv)Vito (mapambo ya dhahabu na fedha)
(v)Madini na mali ya kuchimbuliwa chini ya ardhi au mali ya kuokota
(vi)Mali ya biashara




                   


Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Fiqh Main: Post File: Download PDF Views: 4121

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉2 Dua za Mitume na Manabii     👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉4 ai web app     👉5 Bongolite - Game zone - Play free game     👉6 Madrasa kiganjani    

Post zinazofanana:

Njia za kudhibiti riba

Ufumbuzi wa tatizo la ribaRiba imeenea na kuzoeleka duniani kwa kiasi ambacho watu wengi wanadhani kuwa bila riba hakuna shughuli yoyote ya uchumi inayowezekana.

Soma Zaidi...
Fadhila za usiku waalylat al qadir

Zijuwe fadhila za usiku wenye cheo kuliko nyusiku ya miezi 1000.

Soma Zaidi...
Mambo yaliyo haramu kwa mwenye hedhi na nifasi

Katika post hii utakwenda kujifunza mambo ambayo ni haramu kwa mwanamke aliye na hedhi na nifasi

Soma Zaidi...
Dhana ya mirathi na kurithi katika zama za ujahiliya

Mirathi katika jamii za kijahiliKatika jamii nyingi za kijahili kama vile jamii ya Waarabu kabla ya Mtume Muhammad (s.

Soma Zaidi...