Uthibitisho kuwa Qur-an ni neno la Allah (s.w)
Uthibitisho kuwa Qur-an ni neno la Allah (s.
Uthibitisho kuwa Qur-an ni neno la Allah (s.w)
Baada ya kuona madai mbali mbali yaliyotolewa kupinga kuwa Qur-an si kitabu cha Allah (s.w) na baada ya kuona udhaifu wa madai hayo, ni vyema sasa kuonesha hoja madhubuti zinazothibitisha kuwa Qur-an ni kitabu cha Allah (s.w). Katika kuthibitisha kuwa Qur-an ni kitabu cha Allah (s.w), tuna vigezo viwili
(a) Qur-an yenyewe na
(b) Historia ya kushuka kwake.
(a)Uthibitisho Kutokana na Qur-an Yenyewe:
Vipengele vinavyothibitisha kuwa Qur-an ni Kitabu cha Allah (s.w) kutokana na Qur-an yenyewe ni hivi vifuatavyo:
(i)Kutojua kusoma na kuandika kwa Mtume Muhammad (s.a.w).
(ii)Qur-an yenyewe inajieleza kuwa ni Kitabu cha Allah (s.w)
(iii)Hali aliyokuwa nayo Mtume katika kupokea wahyi.
(iv)Qur-an kushushwa kidogo kidogo kwa kipindi cha miaka ishirini na tatu (23).
(v)Kukosolewa kwa Mtume katika Qur-an.
(vi)Kutokea kweli yale yaliyotabiriwa katika Qur-an.
(vii)Mpangilio wa Qur-an.
(viii)Maudhui ya Qur-an na mvuto wa ujumbe wake.
(ix) Wanaadamu kushindwa kuandika kitabu mithili ya Qur-an.
Hebu tuangalie jinsi kila kipengele kinavyothibitisha kuwa Qur-an ni neno la Allah (s.w).
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 web hosting 👉2 ai web app 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 Simulizi za Hadithi Audio 👉6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
Sababu za kushuka surat Ikhlas
Surat Ikhlas ni katika sura za kitawhid ambazo zilishuka miaka siku za mwanzoni mwa utume. Sura hii imekuja kujibu maswali mengi kuhusu Allah ikiwemo, Allah ni nani?
Soma Zaidi...Sababu za kushuka surat al Quraysh
Qurayh ni jina la kabila la Mtume Muhammad S.A.W. Sura hii itakwenda kukujulisha neema ambazo Maquraysh wamepewa na hawataoewa wao wowote baada ya wao.
Soma Zaidi...HUKUMU ZA TAFKHIIM NA TARQIQ
Jifunze namna ya kusoma quran, pata mafunzo ya tajwid hapa
Soma Zaidi...namna quran inavyogawanya mirathi na wanaorithi pamoja na mafungu yao
Qur-an inavyogawa MirathiMgawanyo wa mirathi umebainishwa katika Qur-an kama ifuatavyo:Mwenyezi Mungu anakuusieni juu ya watoto wenu: Mwanamume apate sawa na sehemu ya wanawake wawili.
Soma Zaidi...