Aina mbalimbali za maumivu ya mwili.

Posti hii inahusu zaidi aina mbalimbali ya maumivu ya mwili, Maumivu ya mwili utokea kwa aina mbalimbali kama ifuatavyo.

Aina mbalimbali ya maumivu ya mwili.

1.Kuna maumivu yanayotokea kwenye sehemu ya juu ya mwili na hasa hasa maumivu haya utokea kwenye ngozi, kuna kipindi unahisi maumivu kwenye ngozi hasa mtu akiungua.

 

2. Kuna maumivu ya ndani kabisa ya mwili ambayo uweza kuingilia na misuli,joint na ogani nyingine kwenye mwili haya maumivu yanakuwa makali na yasipotibiwa yanaweza kuleta kitu kingine kisichotarajiwa.

 

3. Kuna maumivu ambayo yanatokea kwenye sehemu moja ya kiungo cha mwanadamu kumbe chanzo kipo sehemu nyingine kwa mfano mtu anaumwa mgongo lakini maumivu yako kwenye miguu na mgongo wenye shida hata hauna maumivu hata kidogo, tatizo hili ugunduliwa na vipimo vya hali ya juu.

 

4. Kuna maumivu mengine ya kukata kiungo cha binadamu kwa mfano mtu aliyekutwa mguu kwa sababu ya ugonjwa wa kisukari au kwa sababu ya kuoza kwa mguu.

 

5. Maumivu  kisaikolojia haya ni maumivu ambayo uwapata Watu wengi walioumizwa na wapenzi wao haya maumivu uwapata sana wachumba na wapenzi pale mmoja anapoamua kumsaliti mwingine.

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/02/18/Friday - 04:06:14 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1036

Post zifazofanana:-

Sababu za Kutokwa Damu moja kwa moja bila kuganda (hemophilia).
Posti hii inaelezea kuhusiana na Damu kutokuganda ambalo hujulikana Kama Hemophilia, ni ugonjwa nadra ambapo damu yako haigandi kawaida kwa sababu haina protini za kutosha za kuganda. Ikiwa una tatizo la Damu kutokuganda, unaweza kuvuja damu kwa muda mre Soma Zaidi...

Namna ya kutunza joto la mtoto mara tu baada ya kuzaliwa.
Posti hii inahusu zaidi njia ambazo zinaweza kutumika ili kuweza kutunza joto la mtoto mara tu anapozaliwa,tunajuwa wazi kuwa Mama anaweza kujifungulia sehemu yoyote ile kabla hajafika hospitalini kwa hiyo mtoto anapaswa kuwa na joto la mwili la kutosha i Soma Zaidi...

Kukusanywa na kuhifadhiwa kwa quran
Quran (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

Samaani nilikuwa nauriza ninasumburiwa na fanga ya mdomoni naomba ushauri
Fangasi mdomoni wanaweza kuwa tatizo endapo hawatatibiwa mapema. Wanaweza kuongeza majeraha kwenye kinywa. Soma Zaidi...

Tabia za Ute wa siku za hatari kupata mimba au ovulation
Posti hii inahusu zaidi tabia mbalimbali za Ute wa ovulation kwa sababu Ute huu huwa tofauti na Ute mwingine kwa sababu ya kuwepo kwa tabia zake za kipekee kama tutakavyoona. Soma Zaidi...

Madhara ya utapia mlo (marasmus)
Utapiamlo Mkali sana (Marasmus) hufafanuliwa kama aina kali ya utapiamlo ambayo ina sifa ya kupoteza. Utapiamlo uliokithiri umeainishwa katika Utapiamlo Mkali sana (SAM) na Utapiamlo Uliokithiri wa Wastani (MAM), kulingana na kiwango cha kupoteza na kuw Soma Zaidi...

Vyakula gani ambavyo sitakiwi kula kama nina pressure ya kupanda
Post hii itakufundisha kwa ufupi vyakula vya kuviepuka kama una presha ya kupanda. Soma Zaidi...

Mambo muhimu kwa wanawake kabla ya kubeba mimba
Posti hii inahusu zaidi mambo muhimu kwa wanawake kabla ya kubeba mimba,Ni mambo ya kuzingatia ili mama akija kubeba mimba awe mzima kimwili, ki afya na kisaikolojia na hivyo hivyo Mtoto atakayezaliwa atakuwa salama. Soma Zaidi...

Utajiri wa baba na kifo chake
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo kuhusu kifo cha mtoa burudani wa sultani Soma Zaidi...

Vyakula vyenye maji kwa wingi
Somo Hili linakwenda kukuletea vyakula vyeny maji kwa wingi na umuhimu wake mwilini Soma Zaidi...

Mafunzo yatokanayo na kuanzishwa kwa dola ya uislamu madinah
Dola ya uislamu madinah (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

Zabibu (grapefruit)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za zabibu Soma Zaidi...