Aliyepaliwa na maji huduma ya kwanza itakuwaje

Vipi utamsaidia mti ambaye amepaliwa na maji? Post hii itakwenda kukifundisha jambo hili.

' Swali

Aliyepaliwa na maji huduma ya kwanza itakuwaje

 

Jibu: 

' Kupaliwa na maji kunaweza kutokea endapo maji yataingia kwenye tundu la hewa wakati wa kunywa. Poa hutokea ukapaliwa na mate wakati wa kuzungumza. 

 

' Ikiwa mtu amepaliwa na mate au maji ndani ya sekunde kadhaa,  atarudi katika hali ya kawaida. Yaan hali ya kupaliwa itaondoka. 

 

' Endapo hali hiyo itakuwa ni endelevu kwa sekinde nyingi zaidi unatakiwa kumsaidia. Kumsaidoa kwake ni kumpigapiga upande wa mgongoni juu kidogo maeneo ya mabegani. 

 

Kumpigapiga huki kutaweaa kusukuma kilichaompalia nje. Omba msaada wa watu wengine endapo hali itakuwa endelevu kwa dakika moja. 

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/05/14/Saturday - 06:34:54 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1184

Post zifazofanana:-

Faida za limao au ndimu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ndimu au limao Soma Zaidi...

Mjadala juu ya ndoa ya Mtume Muhammad s.a.w na bi Khadija.
Sara na historia ya Mtume Muhammad s.a.w sehemu ya 16. Hapa utajifunza maandalizi wa mjadala wa ndoa hizi. Soma Zaidi...

Fahamu kuhusu Ugonjwa wa ukoma
Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa ukoma, ni Ugonjwa unaosababishwa na mdudu anayeitwa mycobacterium leprae, mdudu huyu kwa kawaida uathiri sana sehemu za ngozi na sehemu za Neva mbalimbali za mwili Soma Zaidi...

Dalili za coma
Coma ni hali ya kupoteza fahamu kwa muda mrefu ambayo inaweza kusababishwa na matatizo mbalimbali Jeraha la kichwa , Kiharusi, Tumor ya ubongo, ulevi wa dawa za kulevya au pombe, au hata ugonjwa wa msingi, kama vile Kisukari au maambukizi. Soma Zaidi...

Mafunzo ya HTML Level 2 somo la 6 (HTML FULL COURSE FOR BEGINNERS LESSON 6)
Katika somo hili la 6 mafunzo ya HTML level 2, tutajfunza namna ya kugawa ukurasa wa wavuti wa html. Soma Zaidi...

Tufanyeje ili kuepuka kuaribika kwa figo?
Posti hii inahusu zaidi njia za kuzuia kuaribika kwa figo, hizi ni njia zinazotumika ili kuweza kupunguza tatizo la kuaribika kwa figo na hasa wale ambao hawajapata tatizo hili wazitumie ili tuone kama tutaweza kupunguza tatizo hili. Soma Zaidi...

Matibabu kwa mtu mwenye kiungulia
Posti hii inahusu zaidi matibabu kwa mtu mwenye kiungulia,ni tiba ambayo mtu anapaswa kutumia kama ana tatizo la kiungulia Soma Zaidi...

Ntajilinda vipi na magonjwa ya meno
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kujilinda na magonjwa ya meno Soma Zaidi...

NI ZIPI KAZI ZA PROTINI MWILINI?
Makala hii inakwenda kukuletea kazi kuu za protini na vyakula vya protini katika miili yetu. Mkala hii itakusaiidia kujuwa namna ya kupangilia lishe yako kiusalama zaidi baada ya kujuwa kazi za protini katika miili yetu. Soma Zaidi...

Mwenye ujauzito wa wiki moja na ana u.t.i anaweza kutumia dawa za aina gani ambozo zitakua salama kwa kiumbe kilichoanza kukua?
Ujauzito unaweza kutoka kwa sababu nyingi kama maradhi, madawa, vyakula na ajali. Unawezakutoa mimba bila kujuwa amakwakujuwa. Damu kutoka ni moja ya dalili za kutoka kwa mimba hata hivyo maumivu ya tumbo huweza kuandamana na damu hii. Soma Zaidi...

Huduma ya kwanza kwa mwenye jeraha linalotoa damu
Posti inahusu huduma ya kwanza kwa mwenye jeraha linalotoa damu.huduma ya kwanza Ni kumsaidia mtu alie pata jeraha au ajali kabla hajamwona dactari au kufika hospitalinia. Soma Zaidi...

Fahamu matumizi ya Dawa iitwayo Aspirin.
Aspirini Ni dawa ya kutuliza maumivu.Majina yanayoaminika zaidi katika kutuliza maumivu sasa yanapatikana kwa njia mbadala inayookoa gharama kwa kutumia Aspirini. Aspirini inayopendwa na familia kwa miongo kadhaa, mara nyingi hutumiwa kupunguza maumivu y Soma Zaidi...