Assalam Baada yakufariki wazazi wake mtume alilelewa nanani???

Mtume Muhammad s.a.w amezaliwa yatima asiyena baba. Lakini hii haikumfanya asipate maelezo bora yaliyo mazuri. Je unajuwa aliyemlea baada ya kufariki kwa mama yake?.

'Swali

Assalam ghalaykum natumaini ni mzima waafya. Baada yakufariki wazazi wake mtume alilelewa nanani???

 

Jibu:

' Baada ya kuzaliwa mtume alinyonya kwa mama yake kisha kwa thuaibatul islamiy 

 

' kisha kwa bi halima kwa miaka 4

 

' Kisha akaendelea kulelewa na mamayake kwa miaka tena 2 hadi alipirafiki manayake

 

' kisha alilelewa na babu yake kwa mika tena 2 hadi alipofariki babu yake

 

' kisha akalelewa na baba yake mdogo baada ya kufariki babu. 



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021-10-18     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 509


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-