ATHARI YA KUTOTIBU MAAMBUKIZI YA KWENYE KIBOFU CHA MKOJO


image


Post hii inahusu zaidi athari za kutotibu maambukizi kwenye kibofu Cha mkojo, nimatazito yanayoweza kutokea iwapo ugonjwa huu hautatibika.


Madhara ya kutotibu ugonjwa wa kibofu Cha mkojo.

1. Maambukizi kwenye figo, hii upelekea kuharibika kabisa kwa figo

2. Kuwepo kwa damu kwenye mkojo, hali ya inaweza kuonekana kwa kutumia darubini

3. Wasiwasi na mawazo mengi , hii utokea pale ambapo mgonjwa upata maumivu makali na kujiona labda hafai kwenye jamii

 

 

 



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    2 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    3 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    5 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    6 Maktaba ya vitabu    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Maana ya afya
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maana ya afya Soma Zaidi...

image Huduma ya kwanza kwa aliyeungua moto
Post hii inahusu namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa mtu aliyeungua moto, kuingia moto ni kitendo Cha kubabuka ngozi ya juu inaweza kuwa kwa kemikali,umeme na just, Soma Zaidi...

image Ugonjwa wa kiseyeye na dalili zake
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu ugonjwa wa kiseyeye na dalili zake Soma Zaidi...

image Aina kuu tatu za vyakula na kazi zake
Posti hii inahusu zaidi Aina kuu tatu za vyakula na kazi zake, hii ni Aina tatu za vyakula na kazi zake jinsi zinavyofanya kazi, hufanya kazi kama ifuatavyo, Soma Zaidi...

image Sababu za kuumwa na tumbo, chini ya kitomvu ama upande wa kulia
Post hii inakwenda kukutajia baadhi tu ya sababu zinazopelekea kuumwa na tumbo. Hali hizi zinawweza kuwapata watu wa jinsia zote katika umri wowote ule. Ijapokuwa nyingine si kwa wote ni kwa baadhi ya watu. hapa nitakuletea sababu 5 tu. Soma Zaidi...

image Mambo yanayoathiri Uponyaji was jeraha.
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Mambo yanayoweza kuadhiri Uponyaji wa jeraha.jeraha huleta maumivu makali sana, vilevile Uvimbe, kutoa usaha. Pia jeraha hutofautiana katika kupona kwa mtu mzima na Mtoto. Soma Zaidi...

image Namna ya kuzuia ugonjwa wa kipindupindu,
Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa kipindupindu ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria kwa kitaalamu huitwa vibrio cholera. Soma Zaidi...

image Fahamu Ugonjwa wa kipindupindu.
Kipindupindu ni ugonjwa wa bakteria ambao kawaida huenezwa kupitia maji machafu. Kipindupindu husababisha Kuhara na Upungufu wa maji mwilini. Soma Zaidi...

image Dawa za mitishamba za kutibu meno
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa za mitishamba za kutibu meno Soma Zaidi...

image Maumivu ya tumbo kwa chini upande wa kushoto
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo chini upande wa kushoto Soma Zaidi...