CHANZO CHA VVU NA UKIMWI


image


Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyanzo m ali mbali vinavyohisiwa kuwa chanzo cha UKIMWI


NINI CHANZO CHA VV NA UKIMWI?

Mpaka sasa chanzo halisi cha VVU bado ni mada tatizi. Ijap[okuwa wengi wanakubaliana na nadharia kuwa VVU asili yake ni masokwe, na ni huko Afrika huhusani maeneo ya Misitu ya Kongo. Yaani eti hapo zamani Waafrika wa maeneo hayo walikuwa wakiwinda masokwe kwa ajili ya kula nyama. Kumbe masokwe hayo yalikuwa na VVU. Hivyo kuingiliano huu ukapelekea watu kupata VVU. Kisha vikaanza kusafiri kutoka hapo, utandawazi na ukoloni, ukimbizi na miingiliano ya kibiahsara ilipelekea kuenea kwa kasi virusi hivi.

 

Kuna nadharia nyingine kuhusu chanzo cha VVu kama vile, inasemekean kuwa VVU ilitengenezwa maabara na wanasayansi wa marekani kwa ajili ya kupunguza wingi wa watu. Hii nadharia inakataliwa vikali kwani inapingana na historia pia inapingana na maeneleo ya sayansi na teknolojia.

 

Pia viongozi wa dini wanadhani kuwa VVU vililetwa na Mwenyezi Mungu kama ni Adhabu kwa wanadamu baada ya kuzidisha uovu, dhulma vitendo vingine vichfu. Hivyo Mungu akaleta gonjwa hili ili kuwaadhibu wanadamu.

 

Kwa ufupi zipo nadharia nyongi sana kuhusu chanzo na asili ya VVU. Hata hivyo wanasayansi wametokea kuikubali dhana ya kwanza kuwa VVU asili yake ni masokwe. Walipata kuchunguza na kugunduwa kuwa masokwenyanabeba virusi ambavyo vingeweza kuwa VVU baadaye baada ya michakato ya kigenetics.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    2 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    3 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    4 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    5 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    6 Mafunzo ya html kwa kiswahili    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Kushiriki ngono na mtu aliye na VVU na UKIMWI
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kushiriki ngono na mtu aliye na VVU na UKIMWI Soma Zaidi...

image Je unaweza sex na mwanamke mwenye HIV na ukaenda kupima wiki moja na ukagundurika kwa vipimo vya maabara
Utakapofanya ngono na aliyeathirika haimaanishi na wewe kuwa lazima utakuwa umeathirika. Kuathirika kuna mambo mengi lazima yafanyike. Soma Zaidi...

image Dalili za VVU/UKIMWI Ni zipi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za VVU/ UKIMWI Soma Zaidi...

image Matibabu ya VVU na UKIMWI
Somo Hili linakwenda kukuletea matibabu ya VVU/UKIMWI Soma Zaidi...

image Mafidodo (mafindofindo) au tonsils kweye koo je inaweza ikawa Ni moja kati ya dalil za ukimwi
Tezi za lymph huanza kuonyesha dalili za kuwa mwili upo katika mapambano dhidi ya vijidudu vya maradhi. Ishara ni pale utakapoona tezi za lymph zina maumivu. Tezi hizi hupatikana kwenye mapaja, kwapa nashingo. Soma Zaidi...

image Vipimo vya VVU
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vipimo mbalimbali vinavyotumika kupima VVU Soma Zaidi...

image Sasa UKIMWI unatokeaje?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia ambazo UKIMWI hutokea Soma Zaidi...

image Je utambuzi wa maambukizi ya ukimwi hupatikana mda gani pale mtu anapoambukizwa
Kuna ukimwi na HIV na kila kimoja kina dalili zake na muda wa kuonyesha hizo dalili. Soma Zaidi...

image Namna ya kujikinga na VVU/UKIMWI
Somo hili linakwenda kukueleza namna mbalimbali za kujikinga na VVU/UKIMWI Soma Zaidi...

image Kuhusu HIV na UKIMWI
Somk hili linakwenda kukueleza kuhusu Mambo mbalimbali yahusuyo HIV na UKIMWI Soma Zaidi...