Home Afya Shule ICT Burudani Dini Maktaba Maswali Madrasa Apps Blog Legacy Login

DALILI ZA KUPATA UVIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROID)


image


Post hii inaenda kufundisha kuhusiana na uvimbe wa kizazi kwa wanawake. Uvimbe wa kizazi no uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao unaweza kuwa ndan ya kizazi uvimbe huu ndan ya mwanamke hujulikana kama (uterine myoma au fibroid). Uvimbe huu hauhusiana na kansa na unaweza kubadilika rangi na kuwa njano au ukawa Kama maji sometimes unakuwa mgumu.ugonjwa huu huwapata wakina mama Zaid.


Sababu zinazopelekea kupata uvimbe kwenye kizazi

-progesterone na estrogen kuzid kiwango mwilini

-ujauzito

-uzito kuwa mwingi 

-genetiki zisizo za kawaida

-lishe duni

-na sababu nyingine ni ya kurithi

   Uvimbe kwenye kizazi umegawanyika ktk makundi matatu nayo no:

1.ndani ya kizazi(submucosal fibroid)

2.ndani ya nyama za.kizazi (intramural fibroid)

3.nje ya kizazi(subserosal).

        Dalili za uvimbe kwenye kizazi

-maumivu makali wakati wa siku za hedhi 

-kuvimba miguu

-unaweza kuhisi una ujauzito

-maumivu wakati wa ndoa

-kupata haha ndogo kwa taabu

-kutokwa na uchafu ukeni

-kupata choo kigumu

-mimba kutoka mara kwa Mara 

-maumivu ya kichwa

-kuvimba sehemu ya chini ya tumbo

Matibabu ; FIBROID SOLUTION ni dawa yenye uwezo mkumbwa katika kutibu uvimbe wa kizazi

Ushauri; ukipata dalili kama hizi usikimbilie kutumia dawa bila kumwona daktari unashauriwa kumwona daktari ili afanye vipimo na ku confirm Kama je ni kwel? Ili akupatie matibabu na namna ya kimfanya ili kuepukana na uvimbe wa kizazi

 



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    2 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    3 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    4 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    5 ICT       ðŸ‘‰    6 Magonjwa na afya    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS

Imeandikwa na Klcin Tags AFYA , Uzazi , ALL , Tarehe 2021-11-07     Share On facebook or WhatsApp Topic school Zaidi Dini AFYA ICT Burudani Tags Uzazi maswali Afya mengineyo dini HIV Sira vyakula Matunda HTML php Alif Lela 1 Alif Lela 2 FANGASI Dawa SQL Tips Quran Sunnah fiqh DARSA Magonjwa Tajwid tawhid simulizi Dua Academy Wahenga chemshabongo WAJUWA Michezo ICT Imesomwa mara 6160



Post Nyingine


image Dalili ya mimba ya wiki moja(1)
Mwanaume na mwanamke wanapo kutana na kujamiina kama mwanamke yupo kwenye ferlile process ni rahisi kupata mbimba. Sparm Zaid ya million moja huingia kwenye mfuko wa lakin sparm moja ndio huweza kuingia kwenye ovum(yai)lakin nyingine hubaki kwenye follopian tube (mirija ya uzazi) na sparm huweza kuishi ndan ya siku 4had 5 na wakati huo huwa kwenye follopian tube. Soma Zaidi...

image Haya maji meupe hutokea wakat mimba ishatungwa au ukifanya tendo la ndoa lazima utokee?
Majimaji yanayitoka kwenye uke yanafungamana na taarifa nyingi kuhusu afya vya mwanamke. Ujauzito, maradhi, mabadiliko ya homoni na zaidi. Soma Zaidi...

image Mimba iliyotunga nje
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu mimba iliyotunga nje na madhara yake kiafya Soma Zaidi...

image Nimetoka kufanya tendo la ndoa ghafla tumbo likaanza kukaza upande wa kushoto na kutoka maji yenye uzito wa kawaida kama ute mengi je hii itakuwa ni nini
Maumivu yavtumbo huwenda yakachanganya sana, Keane yanahusianana sababu nyingi sana. Kina baadhi ya watu hupata na maumivu ya tumbo wakati wa tendo la ndoa ama punde tu baada ya kumaliza. Soma Zaidi...

image Kukosa Ute wakati wa tendo la ndoa.
Posti hii inahusu zaidi sababu za kukosa Ute wakati wa tendo la ndoa,ni Dalili ya kuwepo kwa kiwango kikubwa cha estrogen kwenye mwili ukilinganisha na homoni ya projestoren. Soma Zaidi...

image Dalili za mimba ya mtoto wa kiume ama mtoto wa kike
Posti hii inakwenda kukueleza jinsi ya kuwjuwa kama mtoto ni wa kike ama wa kiume. Soma Zaidi...

image mimi mara ya mwisho kubleed ilikuwa tareh 3/9 nilisex tarehe 4 je ni kwel nna mimba maana hadi sasa sijableed au ni kawaida tu
Je unaijuwa siku yako hatari ya kupata mimba. Na itakuwaje kama tayari umebeba mimba changa. Nakala hii inakwenda kukushauri machache kuhusu maswali haya. Soma Zaidi...

image Mda wa kufanya tendo la ndoa baada ya kujifungua
Posti hii inahusu zaidi mda ambao mama anapaswa kukaa bila kufanya tendo la ndoa mara tu baada ya kujifungua. Soma Zaidi...

image Uchungu usio wa kawaida kwa akina Mama.
Posti hii inahusu zaidi uchungu usio wa kawaida kwa akina Mama, kwa kawaida uchungu unapaswa kuwa ndani ya masaa Kumi na mawili ila Kuna wakati mwingine uchungu unaweza kuwa zaidi ya masaa Kumi na mawili na kusababisha madhara yasiyo ya kawaida kwa Mama na mtoto. Soma Zaidi...

image Njia za kuongeza nguvu za kiume
Somo hili linakwenda kukueleza njia za kuongeza nguvu za kiume Soma Zaidi...