Dalili za minyoo

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za minyoo

DALILI ZA MINYOO

Wakati mwingine ni vigumu sana kujua kama una minyoo, kwani minyoo  wanaweza kukaa ndani ya mwili kwa muda mrefu bila ya kuonesha dalili yeyote, ama madhara yeyote. Na dalili za minyoo pia hutofautiana sana, kulingana na aina za minyoo. Lakini zifuatazo ni katika dalili kuu:-

 

Kichefuchefu

Kukosa hamu ya kula

Maumivu ya tumbo

Kupungua uzito

Uchovu wa viungo

Kuona utelezi mwingi kama kamasi kwenye kinyesi

Kuona minyoo kwenye kinyesi.

Kuona damu kwenye kinyesi

Tumbo kujaa

 

 

Dalili hizi kama nilivyotangulia kusema kuwa zinatofautiana kulingana na aina ya minyoo. Sasa hebu tuone kwa ufupi dalili hizi kulingana na aina ya minyoo:-

 

 

 

minyoo aina na tapeworm dalili zao ni:

Kuvimba kwa ngozi ama kujaa ama kujaa kwa tumbo

Kuwa na alegi

Kuwa na homa

Matatizo katika mfumo wa fahamu, kama kifafa

 

 

minyoo aina ya hookworm dalili zao ni kama:-

Kuwashwa

Kupata ugonjwa wa anaemia (upungufu wa seli hai nyekundu kwenye damu) hivyo kukosa oksijeni ya kutosha mwilini

Kuwa na uchovu wa hali ya juu.

 

 

minyoo aina ya trichinosis, minyoo hawa wana dalili kama:-

Kupata homa

Kuvimba kwa uso

Maumivu ya misuli na kuchoka

Maumivu ya kichwa

Kutokupenda kupigwa na mwanga

Matatizo katika macho (conjuctivist)



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021-11-07     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1728


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Ufahamu Ugonjwa wa hepatitis B
Hepatitis B Ni maambukizi ya ini ambayo yamekuwa sugu kuanzia mwezi na kuendelea. Soma Zaidi...

Presha ya kushuka/hypotension
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu presha ya kushuka/ hypotension Soma Zaidi...

Watu walio hatarini kupata UTI
Somo hili linakwenda kukuletea orodha ya makunfi ya watu walio hatarini kupata UTI Soma Zaidi...

Aina za minyoo
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya aina za minyoo Soma Zaidi...

Dalili za saratani ya tishu (leukemia)
Posti hii inazungumzia kuhusiana na saratani za tishu ambazo kitaalamu hujulikana Kama Leukemia kawaida huhusisha seli nyeupe za damu. Seli zako nyeupe za damu ni wapiganaji hodari wa maambukizo - kwa kawaida hukua na kugawanyika kwa utaratibu, kadri mwi Soma Zaidi...

Namna ya kuzuia maambukizi kwenye nephroni
Post hii inahusu zaidi namna ya kuzuia maambukizi kwenye nephroni, ni njia zinazotumika kuzuia maambukizi kwenye nephroni Soma Zaidi...

Chanzo cha VVU na UKIMWI
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyanzo m ali mbali vinavyohisiwa kuwa chanzo cha UKIMWI Soma Zaidi...

Dalili za fangasi uken
Posti hii inahusu zaidi dalili za fangasi uken, hizi ni baadhi ya dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye tatizo la fangasi uken. Soma Zaidi...

Dalili za jeraha kali kwenye ubongo
Posti hii inahusu zaidi dalili za jeraha kali kwenye ubongo, ni majeraha ambayo utokea kwenye ubongo pale ambapo mtu anapata ajali au amepigwa na kitu chochote kigumu kichwni, zifuatazo ni dalili za jeraha kali kwenye ubongo Soma Zaidi...

Kupambana na kisukari
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kupambana na kisukari Soma Zaidi...

Ugonjwa wa dondakoo
Dondakoo ni ugonjwa mbaya unaosababishwa na sumu inayotengenezwa na bakteria. Husababisha mipako nene nyuma ya pua au koo ambayo inafanya kuwa ngumu kupumua au kumeza. Inaweza kuwa mauti. Soma Zaidi...

Mambo yanayosababisha kuharisha
Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa kuharisha, kuharisha ni kitendo Cha kupitisha kinyesi Cha maji chenye damu au kisichokuwa na damu Soma Zaidi...