DALILI ZA TEZI DUME

Tezi dume hii ni tezi inayopatikana katika katika mfumo wa uzazi wa mwanaume Ila hujulikana kama PROSTATE GLAND. pia hukua karibu na kibofu Cha mkojo na mirija ya mkojo hutumika kuzalisha majimaji (simen) yanayobeba mbegu hivyo bas mkojo unapotoka kwenye kibofu hupitia katika tez dume ukiwa kwenye mrija wa urethr Tezi dume hukua anapopata umri zaidi na inapoongezeka ukubwa ndipo unapoanza Kiminya mirija ya kupitisha mkojo hatimaye huanzisha tatizo la ugonjwa wa tez dume ambapo hujulikana kama Begign prostatic hyperplasia.

    Zifuatazo ni sababu zinazopelekea kupata tezi dume 

 

-umri Mara nyingi huwakumba watu wenye umri anzia 40 na kuendelea ambao Mara nyingi ni  wazee ugonjwa huu sio rahisi kuwapata wanaume chini ya umri ya miaka 40 ni Mara chache Sana.

-tezi dume huweza kuwa za kurithiwa inatokana na genetic disorder za kifamilia

-life style mtu anaweza kuishi kwa mawazo au bila kupata Milo kamili kwahiyo staili za maisha huweza kupelekea maradhi ya tez dume.

         DALILI ZA TEZI DUME

1.kukojoa Mara kwa Mara hasa nyakati za usiku

2.damu kutoka wakati wa kukojoa

3.kupatwa na ugumu wakati wa kukojoa

4.mchirizi wa mkojo kuwa dhaifu

5.mkojo kutokutoka kabisa

6.kujichafua wakati wa kukojoa.

       Athari  zinazopelekea tezi dume

-kibofu kuharibika

-kupata na vijiwe kwenye kibofu

-maambukizi ya fangasi au UTI

-kuharibika kwa Figo

       Suluhisho; prostate glad Zina matibabu pia hutibika kwahiyo mwanaume akiona dalili kama hizi hashauriwi kukaa kimya kilichopo aende hospital kwaajili ya vipimo na matibabu.

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Author Tarehe 2021-11-08     Share On Facebook or WhatsApp Imesomwa mara 1794

Post zifazofanana:-

Damu, uteute na maji yanayotoka ukeni kipindi cha ujauzito
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu damu, uteute na maji yanayotoka ukeni kipindi cha ujauzito Soma Zaidi...

Je mwanamke anaweza kujijuwa ni mjamzito baada ya muda gani.
Mdau anauliza ni muda gani mwanamke anaweza kujijuwa kuwa amepata ujauzito. Soma Zaidi...

Dalili ya mimba ya wiki moja(1)
Mwanaume na mwanamke wanapo kutana na kujamiina kama mwanamke yupo kwenye ferlile process ni rahisi kupata mbimba. Sparm Zaid ya million moja huingia kwenye mfuko wa lakin sparm moja ndio huweza kuingia kwenye ovum(yai)lakin nyingine hubaki kwenye follopian tube (mirija ya uzazi) na sparm huweza kuishi ndan ya siku 4had 5 na wakati huo huwa kwenye follopian tube. Soma Zaidi...

Vyanzo vya kuharibika kwa mimba ya miezi kuanzia 0-3
Posti hii inahusu zaidi vyanzo vya kuharibika kwa mimba kuanzia miezi zero mpaka miezi mitatu, kwa sababu hii ni miezi ya kwanza kabisa Kuna sababu au vyanzo vya kuharibika kwa mimba katika kipindi hiki. Soma Zaidi...

Nini husababisha maumivu ya uume
Kama uume wako unauma ama unahisi kuwa unaunguza ama kuchoma choma, post hii imekuandalia somo hili. Soma Zaidi...

Mimba iliyotunga nje
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu mimba iliyotunga nje na madhara yake kiafya Soma Zaidi...

Tofauti za uke
Posti hii inahusu zaidi tofauti mbalimbali za uke, kwa sababu ya kuwepo kwa matatizo mbalimbali kwenye mwili wa binadamu kuna tofauti mbalimbali za ute kutegemea na hali iliyopo. Soma Zaidi...

dalili za uchungu kwa mama mjamzito
Makala hii itakwenda kukufundisha baadhi ya dalili za uchungu kwa mama mjamzito. Soma Zaidi...

Je tumbo huanza kukua baada ya mda gan?
Ni Swali kila mjamzito anataka kujiuliza hasa akiwa katika mimba ya kwanza. Wengine wanataka kujuwa ni muda gani anujuwe mavazi makubwa. Kama na wewe unataka kujuwa muda ambao tumbo huwa kubwa, endelea kusoma. Soma Zaidi...

Kukosa Ute wakati wa tendo la ndoa.
Posti hii inahusu zaidi sababu za kukosa Ute wakati wa tendo la ndoa,ni Dalili ya kuwepo kwa kiwango kikubwa cha estrogen kwenye mwili ukilinganisha na homoni ya projestoren. Soma Zaidi...

Jinsi mimba inavyotungwa na namna ambavyo jinsia ya mtoto inavyotokea
Posti hii hasa inahusu kasoro ,utatuzi,na jinsi ya kutunga mimba kwa upande wa mwanamke na mwanaume' .itatupelekea jinsi ya kuangalia kasoro na jinsi ya kutatua hizo kasoro katika jamii zetu. Soma Zaidi...

Dalili Za hatari ambayo zinaweza kusababisha ugumba
Posti hii inahusu zaidi dalili ambazo zilijitokeza zinaweza kusababisha ugumba hasa kwa wanawake, kwa hiyo ni vizuri kabisa kuwa makini kwa Dalili hizi hasa kwa wadada, kama kuna uwezekano wa matibabu tibu mapema ili kuepuka tatizo la kuwa mgumba. Soma Zaidi...