Menu



Dapsone na kazi zake

Posti hii inahusu zaidi dawa ya Dapsone na kazi zake, hii ni dawa ambayo utumika katika kutibu ugonjwa wa ukimwi, dawa hii ufanya kazi kwa mchanganyiko wa dawa nyingine kama vile Rifampicin na clofaximine.

Dapsone na kazi zake.

1.Ni mojawapo ya dawa inayotumika kutibu maambukizi kwenye ngozi ikiwemo na ukoma kama tulivyoona hapo juu kuwa dawa hii haitibu ugonjwa huu peke yake na huwa na mchanganyiko na dawa nyingine, dawa hii ufanya kazi kwa kufubaza bakteria ambao usababisha ukoma na hatimaye wadudu uishiwa nguvu na kutoweka kabisa.

 

2.Katika matumizi ya Dawa hii pamoja na dawa ambazo uambatana nazo yaani utolewa kwa vipindi viwili muhimu  ambavyo ni miezi sita na miezi kumi na miwili katika miezi kumi na miwili mgonjwa utumia mchanganyiko wa Rifampicin, Dapsone na clofazimine na wakati wa kipindi cha miezi sita mgonjwa utumia Rifampicin na Dapson, mchanganyiko huo utolewa ili kuwezesha uponyaji kwa wagonjwa wa ukoma 

 

3.Pia  katika matumizi ya dawa hizi ya Dapson kuna maudhi madogo madogo ambayo uweza kutokea kama vile kutapika, kichefuchefu, kuharisha, maumivu ya kichwa, mapigo ya moyo kubadilika, kusinzia sinzia,kuchanganyikiwa kwa mgonjwa kwa hiyo katika matumizi ya dawa hizi mgonjwa anapaswa kuwa katika uangalizi wa karibu zaidi ili pakitokea maudhi yanazidi aweze kupewa msaada wa matibabu.

 

4.Katika matumizi ya dawa hii kuna wale ambao wanapaswa kutumia dawa hizi kwa uangalizi kwa mfano hii dawa usababisha mapigo ya moyo kubadilika kwa hiyo wenye Magonjwa ya moyo wanapaswa kutumia kwa uangalifu zaidi,na kwa wale wenye matatizo ya kuishiwa damu wanapaswa kutibu kwanza kuishiwa damu na hatimaye kutumia dawa hizi.

 

5.Kw hiyo tunajua kubwa Ugonjwa wa ukoma upo na kadiri Watu wanavyotumia dawa unazidi kupungua kwa hiyo tunapaswa kuwaleta wagonjwa wa ukoma hospitalini ili wapewe dawa kwa maana ugonjwa huu unatibika na tuache kuwanyanyapaa wagonjwa wa ukoma ila tuwapeleke wapate tiba sio kuwafukuza majumbani mwetu na kuwatenga wakashinda wanaomba omba ili kupata mahitaji kwa hiyo jamii inapaswa kupewa elimu ya kutosha kuhusu tiba ya ugonjwa huu.

Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.

Download Now Bongoclass

Nyuma Endelea

Ndio     Hapana     Save post
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Dawa Main: Post File: Download PDF Views 1759

Share On:

Facebook WhatsApp

Post zinazofanana:

Dawa ya ALU kama Dawa inayotibu Ugonjwa wa Malaria

Posti hii inahusu zaidi dawa ya ALU kama Dawa inayotibu Ugonjwa wa Malaria ,ni dawa ambayo utumiwa na watu wengi kwa matibabu ya ugonjwa wa Malaria.

Soma Zaidi...
Dawa ya fluconazole kama dawa ya fangasi

Post hii inahusu zaidi dawa za fangasi na matumizi yake kwa kutumia dawa ya fluconazole kama dawa mojawapo ya fangasi.

Soma Zaidi...
Kazi za Dawa ya Artesunate katika kutibu Malaria

Posti hii inahusu zaidi kazi za dawa ya Artesunate katika kutibu Malaria kali, ni dawa ambayo inatumika sana kutibu Malaria kali.

Soma Zaidi...
Fahamu kundi la veta blockers katika matibabu ya magonjwa ya moyo.

Post hii inahusu zaidi kundi la beta blockers katika matibabu ya magonjwa ya moyo,hili kundi lina dawa mbalimbali ambazo utumika katika matibabu ya magonjwa ya moyo na kila dawa tutaiongelea tofauti tofauti ili kuweza kujua kazi zake.

Soma Zaidi...
Fahamu dawa ya kutibu kikohozi inayoitwa expectorant

Post hii inahusu zaidi dawa aina ya expectorant katika matibabu ya kikohozi,ni dawa ambayo usaidia au uzuia kikohozi kuendelea kutokea.

Soma Zaidi...
Vyakula vya kusaidia katika matibabu ya kiungulia

PoPosti hii inahusu zaidi vyakula ambavyo unaweza kutumia iwapo umepata tatizo la kiungulia

Soma Zaidi...
Fahamu kuhusu dawa ya marcolides dawa ya kuuwa bakteria, kwenye mfumo wa hewa

Post hii inahusu zaidi dawa ya macrolide ni mojawapo ya dawa ya kutibu au kupambana na bakteria na upambana na bakteria wafuatao streptococcus pyogenes, staphylococcus aureus na haihusiki na haemophilia influenza ambao usababisha maambukizi kwenye mfumo w

Soma Zaidi...
Ni zipi dawa za Vidonda vya tumbo?

Dawa za vidonda vya tumbo na tiba zake zinapatikana hapa. Soma makala hii kwa ufanisi

Soma Zaidi...
Mebendazole kama dawa ya kutibu Minyoo.

Post hii inahusu zaidi dawa ya Mebendazole kama Dawa ya kutibu Minyoo, ni dawa inayotumiwa na watu wengi pale wanapokuwa na minyoo, walio wengi wamefanikiwa kupona kwa kutumia Dawa hii.

Soma Zaidi...
Fahamu kuhusu dawa za kutibu minyoo

Post hii inahusu zaidi dawa mbalimbali za kutibu minyoo, tunafahamu kabisa minyoo ni ugonjwa ambao uwapata watu mbalimbali hasa watoto.

Soma Zaidi...