image

Dawa ya fluconazole kama dawa ya fangasi

Post hii inahusu zaidi dawa za fangasi na matumizi yake kwa kutumia dawa ya fluconazole kama dawa mojawapo ya fangasi.

Ijue fluconazole kama dawa ya kutibu fangasi.

1. Flucanozole ni Mojawapo ya dawa ya fangasi ambayo IPO kwenye kundi la Azole na dawa nyingine ambazo ziko kwenye kundi hili ni kama vile ketaconazole miconazole na clotrimazole. Dawa hizi usaidia kutibu fangasi mbalimbali kwenye mwili na kuifanya mwili uwe kwenye hali ya kawaida.

 

2. Dawa hii ya Flucanozole ufanya kazi kwa kupambana na enzyme ya fangasi ambaye anasababisha fangasi, kwa kuizidi nguvu enzyme ya fangasi dawa uweza kuua yule mduu anayesababisha maambukizi na kuufanya mwili kuwa kawaida kwa kupambana na enzyme ya fangasi anayesababisha maambukizi.

 

3. Flucanozole usaidia kutibu fangasi za kwenye  oesophagus, fangasi za kwenye Koo na fangasi za kwenye sehemu za Siri hasa kwa wanawake utibu candidiasis kwa kutumia dawa hii ya Flucanozole fangasi zote uisha na mtu urudis kwenye hali ya kawaida na kuendelea na shughuli mbalimbali.

 

4. Matokeo ya kutumia dawa hii ya Flucanozole ni pamoja na  kutapika, kuharisha, maupele kwenye mwili wa binadamu hizi dalili zikitokea kwa mtu hasiogope Bali aendelee kumeza hizi dawa na kuna mda haya matokeo yataisha au kama hali itakuwa mamba mgonjwa inabidi apelekwe hospitali kwa ajili ya uangalizi zaidi.

 

5. Pamoja na kutibu fangasi za sehemu mbalimbali Kuna wagonjwa ambao hawapaswi kutumia dawa hizi ni pamoja na wale wenye allergy na dawa hii pamoja na wale wote ambao Wana matatizo ya inni hawapaswi kutumia dawa za Flucanozole zinaweza kuleta madhara mengine makubwa ambayo hatutegemei.

 

6. Kwa hiyo tumeweza kujua faida za dawa hii ya Flucanozole kwa hiyo tunapaswa kuvitumia kwa kufuata maelekezo ya daktari na kuweza kuitumia bila shida kwa hiyo hii dawa ni nzuri na imewapinuesha watu wengi ambao wameitumia kwa wingi na wamepatwa matokeo mazuri ya afya zao kwa hiyo dawa hii hakipaswi kutumiwa na watu wenye matatizo ya inni na wenye allergy.

           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 5290


Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Fahamu kuhusu dawa ya Acetohexamide
Post hii inahusu zaidi dawa ya Acetohexamide kwa matibabu ya sukari, kama tulivyoona katika post iliyopita kwamba kuna kipindi ambacho kongosho linatoa insulini lakini seli haziko tayari kupokea hiyo insulini. Soma Zaidi...

Fahamu antibiotics ya asili.
Post hii inahusu zaidi antibiotics ya asili, ni antibiotics inayotumia vitu vya kila siku na ya kawaida na mtu akaweza kupona kabisa na kufanya kazi kama antibiotics ya vidonge vya kawaida. Soma Zaidi...

Fahamu dawa za kutuliza kifafa inayoitwa phenobarbital
Post hii inahusu dawa za kutuliza kifafa, zipo dawa mbalimbali za kutuliza kifafa Leo tutaona dawa mojawapo inayoitwa phenobarbital katika kutuliza kifafa. Soma Zaidi...

Fahamu dawa ya carvedilo katika matibabu ya magonjwa ya moyo
Post hii inahusu zaidi dawa ya carvedilo katika matibabu ya magonjwa, ni mojawapo ya dawa kwenye kundi la beta blockers na pia uhusika katika matibabu ya magonjwa ya moyo kama nyingine. Soma Zaidi...

Nini dawa ya fangasi na Je ni kwel kwamba fangas huweza kuxababxh upungufu wa nguvu za kiume.
Soma Zaidi...

Ushauri kabla ya kubeba mimba.
Posti hii inahusu zaidi ushauri kwa akina Mama na wachumba kabla ya kubeba mimba, kabisa ya kubeba mimba akina Mama na wachumba wanapaswa kufanya yafuatayo. Soma Zaidi...

Ijue dawa ya paracetamol katika kutibu maumivu
Post hii inahusu zaidi dawa ya paracetamol katika kutibu maumivu, ni dawa inayosaidia kutibu maumivu ya Kawaida kama vile aspirin. Soma Zaidi...

Fahamu dawa ya kutuliza mishutuko.
Post hii inahusu zaidi dawa ya phenytoin,ni dawa inayotuliza mishutuko mbalimbali inayoweza kutokea kwenye mwili na kutokana na mishutuko hiyo tunaweza kupata kifafa. Soma Zaidi...

Fahamu kuhusu dawa za Doxorubicin na Daunorubicin
Post hii inahusu zaidi dawa za Doxorubicin and Daunorubicin katika kupambana na kansa. Soma Zaidi...

Ifahamu dawa ya furosemide.
Post hii inahusu zaidi dawa ya furosemide ni mojawapo ya dawa ambayo ipo kwenye kundi la diuretics na kwa jina linguine huitwa lasix Soma Zaidi...

Fahamu aina ya penicillin ambayo ufanya kazi kwa mda mrefu
Post hii inahusu zaidi aina mojawapo ya dawa ya penicillin ambayo ufanya kazi kwa mda mrefu, dawa hii kwa kitaamu huiitwa procaine benzyl penicillin. Soma Zaidi...

Njia zinazotumika Ili kumpatia mgonjwa dawa
Posti hii inahusu zaidi njia kuu nne ambazo utumika kumpatia mgonjwa dawa, Ili kumpatia mgonjwa dawa Kuna njia za kutumia kama ifuayavyo. Soma Zaidi...