FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA BAMIA


image


Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia


Faida za bamia

1. Bamia Lina virutubisho Kama vitamin C, K, A na pia bamia Lina protini, fati na madini ya magnesium

2. Bamia Lina antioxidants ambazo hulinda mwili dhidi ya maradhi

3. Hupunguza hatari ya kupata maradhi ya moyo

4. Hulinda mwili dhidi ya saratani

5. Hushusha kiwango cha sukari kwenye damu

6. Husaidia kwa wanawake wajawazito na watoto



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    2 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    4 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    5 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    6 Madrasa kiganjani    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Naomba mnielekeze jinsi ya matayarisho ya Mbegu za papai mpaka nianze kuzitumia kama tiba
Mbegu za papai ni katika baadhi ya mbegu ambazo hutumika kama dawa, na tunda lake ni katika matunda yenyevirutubisho vingi sana. Mbegu za papai zinatumka kwa matumizi mengi sana kiafya. Je ungependa kujuwa faida za papai na jinsi ya kuandaa mbegu zake kama tiba? endelea na makala hii Soma Zaidi...

image Faida za nazi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nazi Soma Zaidi...

image Faida za kula tikiti
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tikiti Soma Zaidi...

image Zabibu (grapefruit)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za zabibu Soma Zaidi...

image Parachichi (avocado)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za parachichi Soma Zaidi...

image Faida za kula kabichi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kabichi Soma Zaidi...

image Faida za kula apple (tufaha)
Posti hii itakwende kukueleza kuhusu faida za kula apple na umuhimu wake kiafya Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula kunazi/ lote tree
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kunazi/ lotetree Soma Zaidi...

image Faida za limao au ndimu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ndimu au limao Soma Zaidi...

image Faida za kula papai
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula papai Soma Zaidi...