image

Faida za kiafya za kula karanga

Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula karanga

. faida za kiafya za kula karanga

1. karanga zina virutubisho kama protini, fati, vitamini B1, B2, B6, madini ya calcium, phosphorus, magnesium na sodium

2. Husaidia katika kudhibiti kisukari

3. Husaidia kuzuia saratani

4. Husaidia katika kutunza kumbukumbu na kuboresha afya ya ubongo

5. Huzuia unyonyokaji ama ukatikaji wa nywele

6. Husaidia katika kupunguza uzito

7. Husaidia katika ukuaji mzuri wa watoto

8. Huboresha afya ya ngozi

9. Ni nzuri kwa afya ya moyo

           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1191


Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Faida za kiafya za kula uyoga
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula uyoga Soma Zaidi...

Vyakula vya vitamini E na faida zake
Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kunywa chai
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kunywa chai Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Pera
Soma Zaidi...

TIBA ASILI ZITOKANAZO NA VYAKULA
Soma Zaidi...

Faida za kitunguu thaumu
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kitunguu thaumu Soma Zaidi...

Kazi za protini mwilini ni zipi?
Virutubisho vya protini vina kazi nyingi mwilini. Zifuatazo ndio kazi protini mwilini Soma Zaidi...

Vyakula vya wanga na faida zake
Soma Zaidi...

Kazi kuu tatu za vitamini C mwilini
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu kazi kuu tatu za vitamini C Soma Zaidi...

Kazi za madini ya zinki
Posti hii inahusu zaidi juu ya madini ya zinki na faida zake katika mwili wa binadamu, Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula kabichi
Soma Zaidi...

Faida za kula bamia
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia Soma Zaidi...