FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA KUNAZI/ LOTE TREE


image


Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kunazi/ lotetree


 Faida za kiafya za kula kunazi (lote tree)

? Tumia matunda na majani yake, majani unaweza kuyakausha na kusaga unga wake ama kuyachemsha.

?

1. husaidia katika kupunguza maumivu

2. Husaidia katika kupunguza maumivu ya tumbo

3. Ni tunda zuri kwa afya ya mfumo wa upumuaji

4. Husaidia katika kuondosha sumu za vyakula na makemikali mwilini

5. Husaidia kurefresh mwili

6. Husaidia katika kutibu maradhi ya ngozi

7. Hupunguz maumivu ya chango kwa wakinamama

8. Husaidia katika afya ya hedhi

9. Husaidia katika ujauzito kwa mama na mtoto

10. Husaidia katika kushusha joto la mwili



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    2 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    4 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    5 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    6 Maktaba ya vitabu    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Faida za kiafya za kula panzi, senene na kumbikumbi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula panzi senene na kumbikumbi Soma Zaidi...

image Nyanya (tomato)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nyanya Soma Zaidi...

image FAIDA ZA KULA ZABIBU
Somo hili litakwenda kukueleza kuhusu faida za kula zabibu na umuhimu wake kiafya Soma Zaidi...

image Faida za kula nanasi
Somo hili linakwenda kukuletea za kula nanasi na umuhimu wake kiafya Soma Zaidi...

image Faida za kula tango
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tango Soma Zaidi...

image Faida za kula apple (tufaha)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula apple/tufaha Soma Zaidi...

image Faida za nazi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nazi Soma Zaidi...

image Faida za kula chungwa na chenza (tangarine)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula chungwa na chenza (tangarine) Soma Zaidi...

image Faida za ubuyu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ubuyu Soma Zaidi...

image Faida kula fenesi
Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula fenesi Soma Zaidi...