FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA MIHOGO


image


Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula mihogo


. Faida za kiafya za kula mihogo

1. mihogo ina virutubisho kama vitamini C, protini, wanga, sukari, vitamini B, madini ya calcium, magnesium, sodium na phosphorus.

2. Husaidia katika kupunguza uzito

3. Huboresha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula

4. Husaidia kuboresha afya ya macho

5. Hutibu tatizo la kuharisha chemsha mizizi yake kisha kunywa

6. Husaidia katika kupenesha vidonda

7. Hutibu homa na maumivu ya kichwa

8. Hutibu minyoo

9. Huongeza hamu ya kula

10. Huianguvu miili yetu kwa haraka



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    2 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    4 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    5 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    6 Magonjwa na afya    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Faida za kiafya za kula kitunguu thaumu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kitunguu thaumu Soma Zaidi...

image Ndizi (banana)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ndizi Soma Zaidi...

image Faida za kula tikiti
Somo hili linalenga kukujuza juu ya umuhimu wa tikiti kwenye afya ya mwili Soma Zaidi...

image Faida za ubuyu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ubuyu Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula zaituni
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula zaituni Soma Zaidi...

image Pilipili kali
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za pilipili kali Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za mbegu za mronge/moringa
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za mbegu za mronge/moringa Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za peaz/ peas
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula peazi Soma Zaidi...

image Zaituni (Olive)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula zaituni/ Olive Soma Zaidi...

image Faida za kula kabichi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kabichi Soma Zaidi...