image

Faida za kiafya za kula passion

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula passion

Faida za kula pensheni au pashen (passion fruit)

1. tunda hili lina virutubisho kama vitamini A na C. pia lina madini ya chuma na potassium

2. Husaidia kulinda mwili dhidi ya kemikali

3. Hulinda moyo dhidi ya maradhi ya moyo

4. Huboresha afya ya macho

5. Hupunguza uwezekano wa kupata saratani ya tumbo, utumbo na matiti

6. Hupunguza athari za maradhi ya kisukari

7. Huondoa tatizo la kutopata choo

8. Huimarisha mwili dhidi ya mashambulizi ya mara kwa mara

           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1399


Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

VYANZO VYA VYAKULA VYA FATI, PROTINO NA WANGA NA FAIDA ZAKE
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...

Faida za kula mbegu za ukwaju
Katika makala hii utakwend akujifunza kuhusu faida za kiafya za kla mbegu za ukwaju. Soma Zaidi...

Faida za mbegu za papai
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za mbegu za papai Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula mihogo
Some Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula mihogo Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula kitunguu thaumu
Soma Zaidi...

Faida za kula Papai
Okoa afya yako kwa kula tunda papai, kwa hakika hutajuta, papai lina virutubisho vingi Soma Zaidi...

Faida za kula fyulisi/peach
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula fyulisi/ peach Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula kunazi/ lote tree
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kunazi/ lotetree Soma Zaidi...

vitamini B na makundi yake
Makala hii inakwenda kukuletea kazi za vitamini B, pia tutajwenda kuona makundi ya vitamini B na kazi za kila kundi. Pia makala hii inakwenda kukufundisha vyanzo na vyakula vya vitamini B. Utajifunza pia kazi kuu za vitamini B kw Soma Zaidi...

Nazi (coconut oil)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nazi Soma Zaidi...

Faida za kula Karoti
Umeshawahi kula karoti mbichi, ama ya kupikwa, je unazijuwa faida zake? soma makala hii Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Spinachi
Soma Zaidi...