Faida za kiafya za kula spinach

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula spinach

Faida za kiafya zakula Spinachi

1. mboga hii ina virutubisho kama vitamini A, C, na K, pia madini ya chuma sodium, calcium and mangenesium. Pia mboga hii ina fati na wanga.

2. Husaidia katika kupunguza uzito

3. Huboresha afya na macho

4. Huboresha afya ya mifupa

5. Hushusha presha ya damu (hypertension)

6. Husaidia mwili kurelas

7. Husaidia katika mapambano dhidi ya saratani

8. Ni nzuri kwa afya ya ngozi

9. Hulinda mwili dhidi ya anaemia

10. Huboresha mfumo wa kinga



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021-10-27     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1165


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Vitamini na kazi zake
Posti hii inahusu zaidi vitamini mbalimbali na kazi zake kwenye mwili,vitamini ufanya kazi mbalimbali kwenye mwili kama ifuayavyo. Soma Zaidi...

Vyakula vya vitamin C
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za vyakula vya vitamin C Soma Zaidi...

Vyakula vyenye madini kwa wingi
Somo hili linakwenda kukuletea orodha ya vyakula vyenye madini kwa wingi Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula kungumanga/nutmeg
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kungumanga/nutmeg Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula kisamvu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kisamvu Soma Zaidi...

Faida za kula papai
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula papai Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula magimbi/ taro roots
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula magimbi Soma Zaidi...

Faida za kiafya za spinachi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula spinach Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kunywa maziwa
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kunywa maziwa Soma Zaidi...

Lishe salama kwa mjamzito
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu lishe salama kwa mjamzito Soma Zaidi...

Vyakula vya vitamini na faida zake
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya vitamini na faida zake Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula tangawizi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za tangawizi Soma Zaidi...