Home Afya Shule ICT Burudani Dini Maktaba Maswali Madrasa Apps Blog Legacy Login

FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA TANGAWIZI


image


Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za tangawizi


. Faida za kiafya za Tangawizi

1. huondoa sumu za vyakula na kemikali mwilini

2. Huondoa kichefuchefu hasa kwa kichefuchefu cha mimba

3. Hupunguza maumivu ya viungio na misuli

4. Hupunguza maambukizi ya mara kwa mara

5. Huimarisha afya ya moyo

6. Hushusha kiwango cha sukari kwenye damu

7. Hutibu tatizo la kukosa hamu ya kula na kukosa choo

8. Hupunguza maumivu ya tumbo la chango kwa wakinamama

9. Hushusha kiwango cha cholesterol

10. Huzuia saratani

11. Huimarisha afya ya ubongo hasa kwa wazee



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    2 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    3 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    4 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    5 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    6 ICT    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS

Imeandikwa na Bongoclass Tags AFYA , Matunda , ALL , Tarehe 2021-10-27     Share On facebook or WhatsApp Topic school Zaidi Dini AFYA ICT Burudani Tags Uzazi maswali Afya mengineyo dini HIV Sira vyakula Matunda HTML php Alif Lela 1 Alif Lela 2 FANGASI Dawa SQL Tips Quran Sunnah fiqh DARSA Magonjwa Tajwid tawhid simulizi Dua Academy Wahenga chemshabongo WAJUWA Michezo ICT Imesomwa mara 797



Post Nyingine


image Faida za biringanya/ eggplant
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za biringanya/ eggplant Soma Zaidi...

image Faida za kula karoti
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kula karoti Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula korosho
Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula korosho Soma Zaidi...

image Faida za ubuyu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ubuyu Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za peaz/ peas
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula peazi Soma Zaidi...

image Faida za kula parachichi
Somo Hili linakwenda kukuletea faida za kula parachichi Soma Zaidi...

image Blueberry
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula blueberry Soma Zaidi...

image Faida za mbegu za maboga
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za mbegu za maboga Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula karanga
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula karanga Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za mbegu za mronge/moringa
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za mbegu za mronge/moringa Soma Zaidi...