FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA ZAITUNI


image


Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula zaituni


 Faida za kiafya za kula Zaituni

1. zaituni lina virutubisho kama protini, sukari, fati, pia lina vitamini E, madini ya chuma, shaba, calcium na sodium

2. Husaidia katika kulinda mwili dhidi ya saratani na mashambulizi ya vimelea vya maradhi

3. Huboresha afya ya moyo

4. Husaidia kuboresha afya ya mifupa

5. Husaidia katika kudhibiti fati kwenye damu

6. Hususha presha ya damu



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    2 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    3 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    4 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    5 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    6 Mafunzo ya php    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Faida za kiafya za kula bamia/okra
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia Soma Zaidi...

image Faida za kula tikiti
Somo hili linalenga kukujuza juu ya umuhimu wa tikiti kwenye afya ya mwili Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula bamia
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia Soma Zaidi...

image Faida za nazi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nazi Soma Zaidi...

image Faida za ubuyu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ubuyu Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kunywa maziwa
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kunywa maziwa Soma Zaidi...

image Chungwa (orange)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula chungwa/orange Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula tango
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tango Soma Zaidi...

image Faida za biringanya/ eggplant
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za biringanya/ eggplant Soma Zaidi...

image FAIDA ZA KULA ZABIBU
Somo hili litakwenda kukueleza kuhusu faida za kula zabibu na umuhimu wake kiafya Soma Zaidi...