Faida za kiafya za parachichi

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula parachichi

 

3. Faida za kula palachichi

1. palachichi lina virutubisho kama wanga, vitamini C, E, K na B^. pia lina madini ya managesium na potassium.

2. Husaidia kuboresha na kuimarisha afya ya moyo

3. Huzuia kupata ugonjwa wa mifupa (kuwa dhaifu na kufunjika kwa urahisi)

4. Huzuia ama kupunguza kupata ugonjwa wa saratani

5. Huboresha afya ya watoto wadogo na ukuaji wao

6. Hupunguza misongo ya mawazo

7. Huondoa tatizo la kutopata choo kikubwa

8. Husaidia kuondoa sumu za vyakula na akemikali mwilini

9. Husaidia kuzuia maambukizi ya mara kwa mara ya virusi, bakteria na fangasi

10. Husaidia kuzukupata maradhi ya kisukari

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021-10-26     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1038

Post zifazofanana:-

Faida za kiafya za peaz/ peas
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula peazi/peas Soma Zaidi...

Madhara ya vidonge vya P2
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kwa sababu ya kutumia mara kwa mara vidonge vya P2, Soma Zaidi...

Mrembo mtoto wa tajiri
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo kuhusu kifo cha mtoa burudani wa sultani Soma Zaidi...

Ugonjwa wa kisonono, sababu zake nanjia za kujilinda.
Kisonono husababishwa na bakteria. Bakteria ya kisonono mara nyingi hupitishwa kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine wakati wa kujamiiana, ikiwa ni pamoja na kujamiiana kwa mdomo, mkundu au uke. Soma Zaidi...

Huduma kwa mwenye maumivu ya tumbo la hedhi
Posti hii inahusu msaada kwa mwenye maumivu ya tumbo la hedhi, hizi ni huduma ambazo utolewa kwa wale wenye maumivu ya tumbo la hedhi. Soma Zaidi...

Fahamu Mambo yanayosababisha Ugonjwa wa kipindupindu
Kipindupindu ni ugonjwa wa bakteria ambao kawaida huenezwa kupitia maji machafu. Kipindupindu husababisha'Kuhara'na'Upungufu wa maji mwilini. Ikiachwa bila kutibiwa, Kipindupindu kinaweza kusababisha kifo kwa muda wa saa chache, hata kwa watu walioku Soma Zaidi...

Watu ambao hawapaswi kutumia njia za uzazi wa mpango
Post hii inahusu zaidi watu ambao hawapaswi kutumia njia za uzazi wa mpango, Ni watu ambao Wana matatizo mbalimbali endapo wakitumia wanaoweza kuleta madhara mbalimbali. Soma Zaidi...

Madhara ya minyoo
Posti hii inaonyesha kiufupi kabisa madhara ya minyoo kwenye mwili wa binadamu. Yafuatayo Ni madhara ya minyoo; Soma Zaidi...

Vyakula hatari kwa mjamzito hasa mimba changa
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya hatari kwa mjamzito hasa mimba changa Soma Zaidi...

Mafunzo yatokanayo na maandalizi haya ya ki ilhamu
Bara arabu zama za jahiliyyah (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

Namna magonjwa ya koo yanavyosambaa
Posti hii inahusu zaidi namna ya magonjwa ya koo yanavyosambaa, magonjwa haya usambaa kutoka sehemu Moja kwenda nyingine kwa njia tofauti kama ifuayavyo Soma Zaidi...

Matibabu ya fangasi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu matibabu ya fangasi Soma Zaidi...