Faida za kitunguu swaumu wakati wa ujauzito

Posti hii inahusu zaidi faida za kitunguu swaumu wakati wa ujauzito, kuna kipindi ambacho wanawake wakati wa ujauzito uchaguza vyakula mbalimbali kuna ambao wanaweza kutumia vitunguu saumu na kupata faida kubwa

Faida za matumizi ya kitunguu swaumu wakati wa ujauzito.

1. Kupunguza tatizo la kupata shinikizo la juu la damu.

 

2. Kuongezeka kwa uzito wa mtoto akiwa bado tumboni.

 

3. Kupunguza cholesterol mwilini.

 

4. Kulinda dhidi ya saratani.

 

5. Kulinda dhidi ya homa ya Maambukizi.

 

6. Kulinda dhidi ya Maambukizi ya ngozi kwa mtoto.

 

7. Kupunguza kuwepo kwa magonjwa mbalimbali ambayo utokea wakati wa mama wakati wa kujifungua pia usaidia kupunguza Magonjwa kwa mtoto akiwa tumboniJe! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/08/04/Thursday - 10:37:43 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 889


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-

Faida za kula tikiti
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tikiti Soma Zaidi...

Faida za kula mayai
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kula mayai Soma Zaidi...

Faida za kula bamia
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula nyama
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nyama Soma Zaidi...

Faida za kitunguu maji/ onion
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu umuhimu wa kitunguu maji mwilini Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula fyulisi/ peach
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula fyulisi/peach Soma Zaidi...

Vitamini na kazi zake
Posti hii inahusu zaidi vitamini mbalimbali na kazi zake kwenye mwili,vitamini ufanya kazi mbalimbali kwenye mwili kama ifuayavyo. Soma Zaidi...

Vyakula vinavyosaidia kupunguza uzito
Posti hii inahusu vyakula ambavyo vinasaidia kupunguza uzito, ni baadhi ya vyakula ambavyo unaweza kutumia ili kuweza kuweka kwenye hali ya kawaida. Soma Zaidi...

Kazi za virutubisho vya protini mwilini
Somo hili linakwenda kukuletea kazi za virutubisho vya protini mwilini Soma Zaidi...

Maumivu ya tumbo baada ya kula
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo baada ya kula Soma Zaidi...

Boga (pumpkin)
Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula maboga Soma Zaidi...

Vyakula muhimu kwa afya ya uzazi wa mwanaume
Vyakula vya kuongeza Nguvu za kiume Soma Zaidi...