image

Faida za kula mayai

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kula mayai

. Faida za kiafya za kula mayai

1. Mayai yana virutubisho kama vitamini A, B5, B12, B2 B6, D, E na K. pia yai lina madini ya selenium, zinc na calcium

2. Husaidia katika kuongeza kiwango cha cholesterol zilizo nzuri

3. Husaidia katika ufanyaji kazi wa ubongo kuwa mzuri pia katika kutengeneza utando wa seli

4. Mayai huamini ka katika kupunguza hatari ya kupata maradhi ya moyo

5. Mayai ni chakula kizuri kwa afya ya macho

6. Mayai yana kiwango kikubwa cha protini iliyo bora kabisa

7. Pia mayai husaidia katika kupunguza hatari ya kupata kiharusi yaani kupalalaizi

8. Husaidia pia katika kupunguza uzito.

?





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1965


Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Madrasa kiganjani     👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉6 Simulizi za Hadithi Audio    

Post zifazofanana:-

Vyakula hatari na salama kwa vidonda vya tumbo
Somo hili linakwenda kukuletea orodha ya vyakula hatari na salama kwa vidonda vya tumbo Soma Zaidi...

Faida za kitunguu thaumu mwilini
Makala hii itakuletea faida za kitunguu thaumu katika afyabyako. Soma Zaidi...

Faida za kula Embe
Embe ni katika matunda atamu na yenye faida kubwa kiafya, soma makala hii hadi mwisho Soma Zaidi...

Karoti
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula karoti Soma Zaidi...

VYAKULA VYA VITAMIN NA MAJI
Zitambue aina zote za vyakule na ufanye maamuzi yaliyo kuwa sahihi katika uandaaji wa chakula chako Soma Zaidi...

Faida za kunywa maziwa
Somo hili linakwenda kukuletea faida za kunywa maziwa kiafya Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Spinachi
Soma Zaidi...

Faida za kiafya za peaz/ peas
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula peazi/peas Soma Zaidi...

Fahamau protini na kazi zake, vyakula vya protini, na athari za upungufu wake.
unayopaswa kuyajuwa kuhusu protini na vyakula vya protini, faida zake na hasara zake. Madhara ya kiafya yanayohusiana na protini pamoja na kuyaepuka madhara hayo Soma Zaidi...

Faida za uyoga mwekundu
Posti hii inahusu zaidi faida kuhusu uyoga mwekundu ni uyoga unaopatikana katika sehemu mbalimbali na pia kuna waliofanikiwa kupandikiza na kuweza kuvuna ila uyoga huu una siri mbalimbali kama tutakavyoona. Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula kitunguu thaumu
Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Tikiti
Soma Zaidi...