FAIDA ZA KULA TIKITI


image


Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tikiti


. Faida za kula tikiti

1. hufanya mwili uwe na majimaji mengi na hii ni faida kubwa sana kiafya

2. Tikiti lina virutubisho kama vitamini C, A, B1, B5, na B6. Pia lina madini ya manganessium na potassium

3. Husaidia kuzuia saratani

4. Huimarisha afya ya moyo

5. Hupunguza misongo ya mawazo

6. Hupunguza udhaifu wa viungo kwa wazee

7. Husaidia kuboresha afya ya nywele na ngozi

8. Huimarisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    2 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    3 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    5 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    6 Madrasa kiganjani    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Faida za kiafya za kula karanga
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula karanga Soma Zaidi...

image Faida za ubuyu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ubuyu Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula bamia/okra
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula fyulisi/ peach
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula fyulisi/peach Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kitunguu maji
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kitunguu maji Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula ukwaju
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ukwaju Soma Zaidi...

image Faida za kula tango
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tango Soma Zaidi...

image Faida za chungwa na chenza ( tangarine)
Somo hili litakwenda kukueleza kuhusu faida za chungwa na chenza mwilini Soma Zaidi...

image Faida za mbegu za papai
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za mbegu za papai na umuhimu wake kiafya Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula topetope/ accustard apple
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula topetope/ accustard apple Soma Zaidi...