Haki za mwanamke katika Uislamu
Katika kuhakikisha kuwa mwanamke anapata haki zake Uislam umesisitiza mambo ya msingi yafuatayo:
Kwanza, Uislamu umeweka wazi kuwa uongozi aliopewa mwanamume juu ya familia yake asije akautumia vibaya na akawageuza watu wa familia yake kuwa "Watumwa" naye akawa "Bwana". Bali anatarajiwa kuiongoza familia na kufikia lengo tarajiwa.
Pili, Uislamu umesisitiza kuwa wanawake wapewe fursa zote zitakazo wawezesha kuendeleza vipawa vyao katika kiwango cha juu ili kuinua na kuiendeleza jamii, ila tu mipaka ya Uislamu ichungwe.
Tatu, Uislamu unasisitiza kumuendeleza mwanamke kiwango cha hali ya juu na kumbakisha katika hadhi ya mwanamke. Kuwa mwanamume au kumtayarisha kwa majukumu ya wanaume si katika haki zake wala Si jambo litakalo mletea maendeleo yeye binafsi na jamii nzima kwa ujumla.
Kwa kuzingatia vipengele hivi vya msingi Uislamu unampa mwanamke haki katika nyanja zote za kijamii kama ifuatavyo:
Umeionaje Makala hii.. ?
Ufumbuzi wa tatizo la ribaRiba imeenea na kuzoeleka duniani kwa kiasi ambacho watu wengi wanadhani kuwa bila riba hakuna shughuli yoyote ya uchumi inayowezekana.
Soma Zaidi...Hapa utajifunza jinsi ya kuswali swala ya witiri na faida zake kwa mwenye kuiswali.
Soma Zaidi...Uchumi wa uislamu umeweka taratibu mbalimbali katika kuchuma mali.
Soma Zaidi...Atika uislamu swala la kupanga uzazi linaruhusiwa endapo kutakuwa na sababu maalumu za kisheria.
Soma Zaidi...Amesema mtume (s.a.w) kuwa Allah (s.w) amesema: kila amali ya mwanaadamu ni kwa ajili yake isipokuwa funga.
Soma Zaidi...Hapa utajifunza taratibu za kumkafini maiti wa kiislamu. Yaani kushona sanda yake na kumvisha.
Soma Zaidi...Hapa utajifunza njia ambazo nenk ya kiislamu hutumia ili kujiendesha
Soma Zaidi...Msimamo wa Uislamu juu ya kudhibiti uzaziKama tulivyoona, msukumo wa kampeni ya kudhibiti kizazi, umetokana na mfumo mbaya wa kijamii na kiuchumi ulioundwa na wanadamu kutokana na matashi yao ya ubinafsi.
Soma Zaidi...