Fangasi wanaojulikana kama Blastomyces
Fangasi wanaojulikana kama Blastomyces, hawa ni fangasi wanaosababisha maradhi yajulikanayo kama blastomycosis.
5. Fangasi wanaojulikana kama Blastomyces
Fangasi wanaojulikana kama Blastomyces, hawa ni fangasi wanaosababisha maradhi yajulikanayo kama blastomycosis. Fangasi hawa wanaishi kwenye mazingira yenye majimaji haswahaswa kwenye udongo ama kwenye maozea kama ya miti au majani. Fangasi hawa tunaweza kuwapata kwa kuvuta hewa ambayo imekusanya fangasi hawa.
Dalili za fangasibhawa:-
- Homa na maumivu vya kichwa
- Kukohoa
- Kutokwa na jasho usiku
- Maumivu ya mivuli na viungio
- Kupoteza uzito
- Maumivu ya kifua
- Uchovu wa hali ya juu sana
Kwa ufupi zipo aina nyingi sana za fangasi, na yapo maradhi mengi sana yasababishwayo na fangasi. Nadhani hapo juu nimekutajia aina maarufu za mangasi ana mago njwa yako. Pia nimekutajia baadhi ya njia za kutumia ili kupambana na fangasi hoa. Sasa nakwenda kukuorodheshea maradhi 7 yatokanayo na fangasi:-
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game 👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉4 Kitabu cha Afya 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 Madrasa kiganjani
Post zinazofanana:
Dalili za kisukari aina ya type 2
Kisukari cha Aina ya 2, ambacho wakati mmoja kilijulikana kama Kisukari cha watu wazima au kisichotegemea insulini, ni ugonjwa sugu unaoathiri jinsi mwili wako unavyobadilisha sukari (glucose), chanzo muhimu cha nishati ya mwili wako.
Soma Zaidi...Maradhi ya Ini na dalili zake, na vipi utajikinga nayo
MAGONJWA YA INI NA DALILIZAKE, NA KUKABILIANA NAYO Ini ni katika viungo vikuu katika mwili wa binadamu.
Soma Zaidi...Njia ambazo VVU huambukizwa
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia ambazo VVU huambukizwa
Soma Zaidi...Aina ya Magonjwa ya akili
Unyogovu (Depression ) ni mojawapo ya ugonjwa wa akili ambao unahusishwa na hisia za huzuni, kukosa matumaini, na kupoteza furaha au shauku katika shughuli za kila siku. Huu si tu hisia ya huzuni iliyokatisha tamaa, bali ni hali sugu inayoweza kuathiri mabadiliko ya mwili, mawazo, na tabia ya mtu. Unyogovu unaweza kutokea kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na mabadiliko ya kemikali katika ubongo, maumbile, mazingira, na matukio mbali mbali katika maisha ambayo kupelekea mgonjwa kuwa hivyo.
Soma Zaidi...Mawe kwenye figo: Sababu na jinsi ya kuepuka.
​Mawe kwenye figo (kidney stones) ni mkusanyiko mgumu wa madini na chumvi zinazotengenezwa ndani ya figo zako. Ingawa mawe haya yanaweza kuonekana madogo, kupita kwao kupitia njia ya mkojo kunaweza kusababisha maumivu makali sana. Makala haya yanaelezea kwa kina kile kinachosababisha mawe haya, jinsi ya kuyatambua, na mikakati madhubuti ya lishe na maisha ili kuzuia kutokea tena.
Soma Zaidi...Madhara ya maumivu kwenye nyonga na kiuno.
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea ikiwa matibabu kwenye nyonga na kiuno hayatafanyika.
Soma Zaidi...