Fangasi wa kwenye kucha: dalili zake, na kumbambana nao
Hawa ni fangasi ambao wanashambulia sana kwenye kucha za vidole vya mikonobna miguu.
1. Fangasi wa kwenye kucha.
Hawa ni fangasi ambao wanashambulia sana kwenye kucha za vidole vya mikonobna miguu. Jina la kitaalamu la fangasi hawa ni onychomycosis. Wanakifanya kidole kivimbe, na kupoteza rangi yake ya asili. Kidole kinaweza kuwa na mipasuko. Fangasi hawa wanaathiri zaidi kwenye vidole vya miguu kuliko vya mikono. Fangasi hawa hawana maumivu lamda kama wataathiri zaidi.
Dalili za fangasi hawa:-
- Kucha kuwa na utandu mweupe au njano
- Kidole kuwa kigumu na kuvimba
- Kupasuka kwa vidole
Fangasi hawa tunaweza kuwapata kwenye mazingira yetu, wanaingia kupitia mipasuko kwenye miguu ama kwa namna nyingine. Kila mtu anaweza kupata fangasi hawa ila kuna watu wapo hatarini sana yaani ni rahisi kupata fangasi hawa.
Watu walio hatari kupata fangasi hawa
Watu hawa ni kama:-
- Mtu mwenye majeraha kwenye kucha ama aliyefanyiwa upasuaji
- Watu wenye kisukari
- Watu wenye mfumo wa kinga ulio dhaifu
- Watu wenye matatizo katika mfumo wa damu
- Watu wenye minyoo kwenye miguu.
Njia za kuepuka fangasi hawa:
- Weka vidole vyako safi na vikavu muda wote
- Kata kucha zako ziwe fupi na usiweke safi muda wote
- Usitembee bila ya viatu kwenye maeneo yasiyo salama.
- Usishiriki kifaa cha kukatia kucha na watu wengine
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
๐1 Madrasa kiganjani ๐2 Kitau cha Fiqh ๐3 kitabu cha Simulizi ๐4 ai web app ๐5 web hosting ๐6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Post zinazofanana:
Homa ya Dengue, dalili za homa ya dengue na Njia ya kujikinga nayo
HOMA YA DENGUEHoma ya dengue ni miongoni mwa maradhi hatari ambayo husambazwa na mbu.
Soma Zaidi...Madhara ya ugonjwa wa madonda ya koo usipotibiwa
Posti hii inahusu zaidi madhara ya ugonjwa wa madonda ya koo usipotibiwa, ugonjwa huu usipotibiwa unaweza sababisha madhara mbalimbali kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Matatizo ya tezi ya shingo (Thyroid disorders): Dalili zake.
Tezi ya shingo (Thyroid gland) ni kiungo kidogo chenye umbo la kipepeo kilichopo sehemu ya mbele ya shingo. Ingawa ni ndogo, ina kazi kubwa sana ya kuzalisha homoni zinazodhibiti kila kitu kuanzia kasi ya mapigo ya moyo, joto la mwili, hadi namna tunavyochoma kalori. Matatizo ya tezi hutokea pale tezi hii inapozalisha homoni nyingi sana (Hyperthyroidism) au kidogo sana (Hypothyroidism). Makala haya yanachambua dalili za hali hizi mbili ili kukusaidia kuelewa ishara za mwili wako.
Soma Zaidi...Saratani ya tishu zinazounda Damu mwilini (leukemia)
Post hii inaelezea kuhusiana naรย Sarataniรย ya tishu zinazounda damu mwilini, ikijumuisha uboho na mfumo wa limfu.ugonjwa huu kitaalamu huitwa leukemia.
Soma Zaidi...Njia za kuzuia ugonjwa wa kisonono
Posti hii inahusu zaidi njia ambazo utumiwa Ili kuweza kuzuia kuwepo ugonjwa wa kisonono, kwa kufuata njia hizi ugonjwa huu wa kisonono unaweza kupungua kwa kiasi au kuisha kabisa.
Soma Zaidi...