Chemsha bongo namba 08
20.
Chemsha bongo 08
![]()
![]()
20.Gari gani
Kulikuwa na magari mawili, moja linatembea kwa kasi sana kwa mwendokasi wa kilometa 60 kwa lisaa (60km/h) na lingine kwa mwendokasi wa kilomita 40 kwa lisaa (40km/h). gari zite zinatembea kwenye njia moja na isiyo na kona.
Baada ya muda flani gari zile zikakutana na kupishana. Unadhani hii barabara ni ya namna gani, ama nini kimetokea?
Jibu
Kwa sababu zilikuwa zikitembea kwa uelekeo tofauti
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi 👉2 Kitau cha Fiqh 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 web hosting 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Kitabu cha Afya
👉1 kitabu cha Simulizi 👉2 Kitau cha Fiqh 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 web hosting 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Kitabu cha Afya
Post zinazofanana:
SIRI
Kutoka kwenye usingizi mzito unaamka, Haujui nini kimetokea (uenda ukawa umepoteza kumbukumba).
Soma Zaidi...