Chemsha bongo namba 10
7.
Chemsha bongo 10
![]()
![]()
7.Tujikumbushe kidogo na hii
Mtu mmoja alikuwa akitokea shmba. Kwa bahati mbaya mvua kubwa akamnyeshea. Akiwa hana mwavuli wala jacketi ama kiti chochote cha kumkinga na mvua. Hivyo alitota sana. Jambo la kushangaza alitota mwili mzima lakini hata nywele yake moja kichwani haikutota. Unadhani inawezekanaje?
Jibu
Kwa sababu alikuwa na kipara.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 kitabu cha Simulizi 👉3 Bongolite - Game zone - Play free game 👉4 Simulizi za Hadithi Audio 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 Kitabu cha Afya
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 kitabu cha Simulizi 👉3 Bongolite - Game zone - Play free game 👉4 Simulizi za Hadithi Audio 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 Kitabu cha Afya
Post zinazofanana:
KUMTOROSHA MFUNGWA GEREZANI
Chemshabongo, Je? ungelikuwa ni w ewe ungetorokaje gerezani?
Soma Zaidi...Chemsha bongo namba 05
Ashumu upo kwenye chumba kimoja kikubwa sana, hakina milango wala madirisha.
Soma Zaidi...