13.
13.Na wenzio pia
Ukiwa nami unataka kuwapa na wenzio, na ukiwapa wenzio umenikisa, hurakuwa nami tena. Je! Mimi ni nani?
Jibu
Siri
Umeionaje Makala hii.. ?
Kutoka kwenye usingizi mzito unaamka, Haujui nini kimetokea (uenda ukawa umepoteza kumbukumba).
Soma Zaidi...