Chemsha bongo namba 26
19.
Chemsha bongo 26
![]()
![]()
19.Tufaha chumbani
Mwanafunzi mmoja alipewa chemsha bongo. Ndani ya chumba kilicho kitupu waliwekwa watu 10. watu hawa walijipanga kuzunguka chumba, kwa kiasi kwamba wangeweza kukiona chochote kitakachowekwa ndani ya chumba hiko.
Mwanafunzi huyu akapewa tufaha na akaambiwa aliweke tufaha ndani ya chumba kile chenye watu kumi, kwa namna ambayo mtu mmoja tu ndio hatakiwi kuliona tufaha. Unadhani ni wapi angeliweka tufaha hili?
Jibu
Angeliweka juu ya kichwa cha mmoja wapo
Umeionaje Makala hii.. ?
Author:
Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23
Topic: Chemshabongo
Main: Post
File: Download PDF
Views 3328
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya 👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉3 Bongolite - Game zone - Play free game 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 web hosting 👉6 Kitau cha Fiqh
👉1 Kitabu cha Afya 👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉3 Bongolite - Game zone - Play free game 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 web hosting 👉6 Kitau cha Fiqh