image

Habari ndugu naomba kuuliza eti mtu akipaliwa na asali anakufa?

Post hii inakwenda kukujulisha hatari za kupaliwa na asali ama kitu kingine kama muulizaji alivyouliza.

👉 Swali: 

Eti mtu akipaliwa na asali anakufa?

 

🐦 Jibu

🦈Itategemea na imempalia kwa muda gani.  Ndio anaweza kufa.  Na hii sio kwa asali tu bali hata kwa maji au kitu kingine. 

 

🐔Endapo kuoaliwa huku kutamzuia kupumua vyema ama kushindwa kabisa kuoumua. Hali hii itapelekea ubongo kukosa hewa na hivyo kufariki. 

 

🍆endapo itazidi dakika 3 afya yake itakuwa hatarini endapo itafika dakika 5 huwenda akapoteza faham endapo itafika dakika 10 huwenda akawa katika coma au akawa na clinical death (kifo)

Haya yote yatatokea endapo kupaliwa kutakuwa kunamzuia kupumua na sio asali tu bali ni kupaliwa kwa aina yoyote

           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1225


Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-

Faida za kiafya za kula panzi, senene na kumbikumbi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula panzi senene na kumbikumbi Soma Zaidi...

Faida za kula Karoti
Umeshawahi kula karoti mbichi, ama ya kupikwa, je unazijuwa faida zake? soma makala hii Soma Zaidi...

Faida za kula stafeli/soursop
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za stafel/soursop Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula mbegu za matikiti
Katika post hii utajifunza faida za kula mbegu za tikiti. Baada ya post hii utajifunza kuwa mbegu za tikiti hazitupwi. Soma Zaidi...

Je ,mafua yanayojirudia Mara kwa Mara hasa wkati was baridi ,au vumbi likiingia puan chafya haziishi,Hilo nalo ni upungufu wa vitamin c?
Soma Zaidi...

Fahamu vitamini K na kazi zake, vyakula vya vitamini k na athari za upungufu wake
kuhusu vitamini K, wapi tutavipata, ni zipi athari zake na ni zipi kazi zake mwilini. Soma Zaidi...

Faida za mchaichai/ lemongrass
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za mchaichai Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kunywa chai
Soma Zaidi...

Fahamu kuhusu maji, kazizake mwilini na athari za upungufu wake mwilini
Hpa utafahamu faida za maji mwilini pamoja na athari za upungufu wa maji mwilini na dalili zake Soma Zaidi...

Vyakula muhimu kwa kulinda afya ya macho - Epuka upofu kwa kula vyakula hivi
Matatizo ya macho yanaweza kuruthiwa kutoka kwa wazazi kwenda kwa mtoto. hata hivyo shughuli zetu na vyakula tunavyokula vinaweza kuchangia kwa kiasi kikubwa matatizo haya. Hapa nitakuletea vyakula muhimu kwa afya ya macho yako. Soma Zaidi...

Faida za kula papai
Posti hii inaonyesha Faida za kula papai.papai Ni tunda na Lina leta afya,nguvu na kuujenga mwili. Soma Zaidi...

RANGI ZA MATUNDA
Jifunze sifa na aina za matunda, vijuwe viruturubisho Soma Zaidi...