Umbwaji wa mwanadamu kutoka Nutfa (tone la mbegu za uzazi), alaqah (tone la damu, mudgha (pande la nyama) na kuwa mtu kamili

' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ': ' ' ' ' ' ' ' ' ...

Umbwaji wa mwanadamu kutoka Nutfa (tone la mbegu za uzazi), alaqah (tone la damu, mudgha (pande la nyama) na kuwa mtu kamili

HADITHI YA 04

' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ': ' ' ' ' ' ' ' ' -' ' '-: "' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ': ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' '. ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' '".
[' ']

Kwa mapokezi ya Abdullah ibn Masood (ra), ambaye alisema:Mjumbe wa Allaah ((s.a.w)), na yeye ni mkweli, aliyeaminiwa, ametusimulia sisi kuwa, "Hakika uumbaji wa kila mmoja wenu unakusanywa katika tumbo la mama yake kwa siku arobaini katika umbo la nutfah (tone la manii).

kisha anakuwa alaqah (tone la damu) kwa kipindi kama hicho, kisha anakuwa mudgha (pande la nyama) kwa kipindi kama hicho, kisha hutumwa kwake malaika atakayempulizia roho yake ndani yake na ameamrishwa mambo manne : kuandika rizq yake (riziki), maisha ya muda wake, vitendo vyake, na ikiwa vya heri au vya shari (yaani, ikiwa ataingia Peponi).

Na ninaapa kwa yule, ambaye hakuna Muungu isipokuwa Yeye, kwa hakika mmoja wenu anatenda vitendo vya watu wa Peponi hadi kutakapokuwa na urefu wa dhiraa kati yake na hiyo pepo, na yale yaliyoandikwa yatamtangulia, na kwa hivyo atafanya. vitendo vya watu wa Motoni na kwa hivyo atauiingia; na kwa hakika mmoja wenu atatenda vitendo vya watu wa Motoni, mpaka itakuwa kati yake na pepo ni urefu wa dhiraa, na yale ambayo yameandikwa yatamtangulia na atafanya vitendo vya watu wa Peponi na atainaingia peponi"[Bukhari & Muslim]'


                   



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 195


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

Wanyama ambao hutolewa zaka
(ii) Wanyama wafugwao kwa ajili ya chakula Wanyama wafugwao wanaotolewa Zakat ni ngamia, ngo'ombe, mbuzi na kondoo. Soma Zaidi...

Hii ndio namna ya kuswali kama alivyoswali Mtume s.a.w
Mtume (s. Soma Zaidi...

kUSOMA TAHIYATU NA KUMSWALIA MTUME KWENYE SWALA
11. Soma Zaidi...

Kuchaguliwa kwa Makhalifa wanne baada ya kutawaf (kufariki) kwa Mtume muhammad (s.a.w)
8. Soma Zaidi...

NI LIPI HASA LENGO LA KUFARADHISHWA SWALA ZA FARADHI NA KUWEPO KWA SWALA ZA SUNNAH (SUNA)
Lengo la Kusimamisha SwalaBila shaka swala imepewa umuhimu mkubwa kiasi cha kufanywa nguzo kubwa ya Uislamu kutokana na lengo lake. Soma Zaidi...

Hija ya kuaga kwa mtume, na hutuba ya mwisho aliyotowa mtume katika hija
Mwaka mmoja baada ya msafara wa Tabuuk Bara Arab zima ilikuwa chini ya Dola ya Kiislamu. Soma Zaidi...

WACHA KILE ULICHO NA SHAKA NACHO NA FANYA USICHO NA SHAKA NACHO
' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' ' '... Soma Zaidi...

tarekh 02
FAMILIA YA MTUME (S. Soma Zaidi...

Vita vya Uhud na sababu ya kutokea kwake, Mafunzo ya Vita Vya Uhud
Vita vya Uhudi. Soma Zaidi...

Masiku ya Tashiq, kuchinja na kufanya tawafu ya kuaga
8. Soma Zaidi...

UGONJWA WA MALARIA NA TAKWIMU ZA ATHARI YAKE KIDUNIA
Malaria ni katika maradhi ambayo husambazwa na na mbu jike aina ya anopheles. Soma Zaidi...

Namna ya kuhiji, hatua kwa hatua
Soma Zaidi...