KULA HALALI NA ZILICHO KIZURI NI AMRI KATIKA UISLAMU
عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه و سلم "إنَّ اللَّهَ طَيِّبٌ لَا يَقْبَلُ إلَّا طَي...
HADITHI YA 10
عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه و سلم "إنَّ اللَّهَ طَيِّبٌ لَا يَقْبَلُ إلَّا طَيِّبًا، وَإِنَّ اللَّهَ أَمَرَ الْمُؤْمِنِينَ بِمَا أَمَرَ بِهِ الْمُرْسَلِينَ فَقَالَ تَعَالَى: "يَا أَيُّهَا الرُّسُلُ كُلُوا مِنْ الطَّيِّبَاتِ وَاعْمَلُوا صَالِحًا"، وَقَالَ تَعَالَى: "يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا كُلُوا مِنْ طَيِّبَاتِ مَا رَزَقْنَاكُمْ" ثُمَّ ذَكَرَ الرَّجُلَ يُطِيلُ السَّفَرَ أَشْعَثَ أَغْبَرَ يَمُدُّ يَدَيْهِ إلَى السَّمَاءِ: يَا رَبِّ! يَا رَبِّ! وَمَطْعَمُهُ حَرَامٌ، وَمَشْرَبُهُ حَرَامٌ، وَمَلْبَسُهُ حَرَامٌ، وَغُذِّيَ بِالْحَرَامِ، فَأَنَّى يُسْتَجَابُ لَهُ؟".
[رَوَاهُ مُسْلِمٌ]
Kwa mapokezi ya Abu Hurayrah (ra):
Mjumbe wa Mwenyezi Mungu ((s.a.w)) Amesema, "Mwenyezi Mungu Mtukufu ni Mzuri na anakubali mambo mazuri (mema). Na hakika Mwenyezi Mungu amewaamrisha waumini kufanya yale ambayo Amewaamuru Mitume.
Kwani Mwenyezi Amesema: "Enyi Mitume! Kuleni kila vyakula vizurit [kila aina ya vyakula halal (kisheria)], na fanya matendo mema. "[23:51] na Mwenyezi Amesema:" Enyi mlio amini! Kuleni vitu vilivyo vizuri (halali) ambavyo tumekupeni.
Kisha akataja habari ya Mtu mmoja ambaye alikuwa yupo safarini, safari ndefu akiwa manywele yapo timtim amechafuka mavumbi akavyoosha mikono yake angani kuomba dua akisema "Ewe Bwana! Ee Mola! ”Wakati chakula chake ni haram (kisicho halali), kinywaji chake ni haram, mavazi yake ni haram, na amelelewa na chakula kilicho haram, kwa hivyo [dua yake] inawezaje kujibiwa? [Muslim]
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game 👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉3 Madrasa kiganjani 👉4 Kitabu cha Afya 👉5 Simulizi za Hadithi Audio 👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina
Post zinazofanana:
Kwanini Ni muhimu kusimamisha uislamu katika jamii
Dini anayostahiki kufuata mwanadamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Iv shekh haifai kufunga kwa nia utimize jambo labda kuna kitu unakitaka kwhy unaamua kugunga ili kama kuzidisha maombi kwa mungu jambo lifanikiwe
Ibada yavfubga ni katika ibadavanbazo hufanya nakaribia dini zote kubwa. Ibada hii imekuwaikikabiliw na naswlo mengi.
Soma Zaidi...Zoezi la 3
Kipengele hichi kina maswali mbalimbali kuhusiana na dini na mitazamo mbalimbali.
Soma Zaidi...