Hadithi Ya 23: Tohara Ni Nusu Ya Imaan
Hadithi Ya 23: Tohara Ni Nusu Ya Imaan
الحديث الثالث والعشرون
"االطهور شطر الإيمان"
عن أبي مالكٍ الحارِثِ بنِ عاصِمٍ الأَشْعَرِيِّ رضي اللهُ عنهُ قال : قال رسولُ اللهِ صلى الله عليه وسلم: ((الطُّهُورُ شَطْرُ الإِيَمانِ، والحمدُ لِلهِ تَمْلأُ الْمِيزَانَ، وسُبْحانَ اللهِ والحمدُ لِلهِ تَمْلآنِ - أو تَمْلأُ - ما بَيْنَ السَّمآءِ والأرضِ، والصَّلاةُ نورٌ، والصَّدَقَةُ بُرْهانٌ، والصَّبْرُ ضِيَاءٌ، والْقُرآنُ حُجَّةٌ لَكَ أو عَلَيْكَ، كُلُّ النَّاسِ يَغْدو، فَبائعٌ نَفْسَهُ، فَمُعْتِقُها أَو مُوبِقُها))
رَوَاهُ مُسْلِمٌ
HADITHI YA 23
TOHARA NI NUSU YA IMAAN
Kutoka kwa Abu Malik Al-Harith Ibn 'Asim Al-Ash'ariyy رضي الله عنه alisema, kasema Mtume wa Allahصلى الله عليه وسلم
Tohara ni nusu ya Imaan. Na AlhamduliLlahi inajaza mizani, na SubhaanaAllah Wal-hamduliLlah inajaza baina ya mbingu na ardhi. Swala ni nuru, Sadaka ni ushuhuda, Subira ni mwangaza, na Qur'aan ni hoja yako au dhidi yako. Kila mtu anaianza siku yake akiichuuza nafsi yake, aidha huiacha huru au anaisambaratisha.
Imesimuliwa na Muslim
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 kitabu cha Simulizi 👉2 Dua za Mitume na Manabii 👉3 Simulizi za Hadithi Audio 👉4 Kitabu cha Afya 👉5 Bongolite - Game zone - Play free game 👉6 Kitau cha Fiqh
Post zinazofanana:
Hatari ya kumshika mwanamke asiye halali yako.
Hpa utajifunza umuhimu wa kujilinda dhidi ya mambo yanayoweza kupelekea fitna na maasi. Uislamu umeweka mipaka ya heshima kati ya mwanaume na mwanamke ili kulinda moyo, tabia na maadili ya jamii.
Soma Zaidi...(ii)Hum cha Allah (s.w) kwa kutekeleza amri zake
Anapotajwa Mwenyezi Mungu au wanapokumbushwa juu ya maamrisho na makatazo ya Mwenyezi Mungu, nyoyo zao hunyenyekea na kufuata kama walivyokumbushwa.
Soma Zaidi...Uandishi wa Hadithi wakati wa Matabiina
Historia ya uandishi wa hadithibwakati wa Matabiina, yaani wafuasi wa maswahaba
Soma Zaidi...