Hadithi Ya 37: Allaah Kaviandika Vitendo Vyema Na Vibaya
Hadithi Ya 37: Allaah Kaviandika Vitendo Vyema Na Vibaya
الحديث السابع والثلاثون
عَن ابْنِ عَبَّاسٍ رَضِيَ اللهُ عَنْهُمَا عَنِ النبي صلى الله عليه وسلم فِيْمَا يَرْوِيْهِ عَنْ رَبِّهِ تَبَارَكَ وَتَعَالى أَنَّهُ قَالَ:
(إِنَّ الله كَتَبَ الحَسَنَاتِ وَالسَّيئَاتِ ثُمَّ بَيَّنَ ذَلِكَ؛ فَمَنْ هَمَّ بِحَسَنَةٍ فَلَمْ يَعْمَلْهَا كَتَبَهَا اللهُ عِنْدَهُ حَسَنَةً كَامِلَةً،وَإِنْ هَمَّ بِهَا فَعَمِلَهَا كَتَبَهَا اللهُ عِنْدَهُ عَشْرَ حَسَنَاتٍ إِلَى سَبْعِمائَةِ ضِعْفٍ إِلىَ أَضْعَاف كَثِيْرَةٍ. وَإِنْ هَمَّ بِسَيِّئَةٍ فَلَمْ يَعْمَلْهَا كَتَبَهَا اللهُ عِنْدَهُ حَسَنَةً كَامِلَةً،وَإِنْ هَمَّ بِهَا فَعَمِلَهَا كَتَبَهَا اللهُ سَيِّئَةً وَاحِدَةً)
رَوَاهُ البُخَارِيُّ وَمُسْلِمٌ في صَحِيْحَيْهِمَا بِهَذِهِ الحُرُوْفِ
HADITHI YA 37 ALLAAH KAVIANDIKA VITENDO VYEMA NA VIOVU
Kutoka kwa Ibn ‘Abbaas رضي الله عنهما kapokea kutoka kwa Mtume صلى الله عليه وسلم amesema kutokana na yale aliyoyapokea kutoka kwa Mola wake Aliyetukuka, kwamba Kasema: ((Hakika Allaah Ameviandika vitendo vyema na viovu, kasha Akavibainisha. Basi atakayeazimia kufanya tendo jema kisha asiweze kulifanya, basi Allaah Atamwandikia ujira wa tendo jema lililokamika. Na ikiwa aliazimia kulifanya kisha akalifanya, basi Allaah Atamwandikia (Atamlipa) ujira mara kumi hadi mara mia saba na zaidi ya idadi hiyo.
Na atakayeazimia kufanya tendo ovu kisha asilifanye, Allaah Atamwandikia (Atamlipa) ujira mmoja, na endapo atalifanya tendo
Imesimuliwa na Al-Bukhaariy na Muslim kwa herufi hizi
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 web hosting 👉3 Bongolite - Game zone - Play free game 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 Simulizi za Hadithi Audio 👉6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
Nafasi ya Elimu na wenye elimu katika Uislamu
Nafasi ya elimu na mwenye elimu katika uislamu inaonkana katika maeneo yafuatayo: Kwanza, Elimu ndio takrima ya kwanza aliyokirimiwa mwanaadamu na Mola wake.
Soma Zaidi...DUA na Adhkar kutoka kwenye quran
hii ni orodha ya dua mbalimbali kutoka kwenye quran. Unaweza kuzitumia dua hizi kujipendekeza kwa Allah na kupata msamaha, neema na mengineyo.
Soma Zaidi...Adabu za kuomba dua kuifanya dua yako ikubaliwe kwa haraka
Post hii inakwenda kukugundisha adabu zinazotakikana kwa mwenye kuomba dua.
Soma Zaidi...Uislamu ni Nasaha (kunasihiana) kwa Mwenyezi Mungu, Kitabu chake Mtume wake , Viongozi na waislamu wote
عَنْ أَبِي رُقَيَّةَ تَمِيمِ بْنِ أَوْسٍ الدَّارِيِّ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ أَنَّ النَّبِيَّ صلى الله عليه وسلم قَالَ: "الدِّينُ النَّصِ?...
Soma Zaidi...