SWALI

Hi Nauliza mke wangu alitokwa na ujauzito mwezi was kumi mwaka Jana mpaka sai haja shika ingine shida inaweza kua nini

Swali No. 229




JIBU

Kushika ujauzito kunategemea na mambo mengi. Kwanza vyema mkapate vipimo kati yenu ili kujuwa kama kuna tatizo. 

 

Kwa mwanamke ataangalia kama ana uwezo wa kupata ujauzito,  na hapo ni kuangalia uwepo wa mayai na afya yake. Pia afya ya kizazi na mirija kama haijaziba. 

 

Endapo yeyevhana tatizo na wewe inatakiwa uoatebvipikonkujuwa kama mbegu zako zina afya njema. 

 

Baada ta hapo endapo wote hamna matatizo itabidi mkeobapatiwe dawa za homoni ili kukomaza mayai mengi. Ili kuongeza nafasibyavkubeba mimba. 

 

Mtashauriwa pia kuhusu vyakula na muda wa kutafutavujauzito. 



Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 07-02-2023-18:09:40 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp






MASWALI YANAYOFANANA