SWALI
Kwema, je hii swala ya dhuha nitaiswalije au hatua zake zikoje kipindi cha kuswali hii swala
Swali No. 272
JIBU
utaiswali kama unavyoswali swala nyingune ama sunnahnyingine. Kitu kilichibadilika hapo ni muda wa kuswali.
Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 11-02-2023-03:58:16 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nicheki Nicheki WhatsApp