SWALI

Habar Dr. Mimi ninaujauzto wa wiki16 ndo wa kwanza lkn nahis kichezo tumboni unaweza nijuza hili

Swali No. 341
JIBU

Wiki ya 16 kwa mahesabu ya kawaida ni sawa na miezi 4. Huu ni muda mubaraka kwa mtoto aliye tumboni kuthibitisha afya yake na uzima wake. 

 

Kuhisi vichezo ni ishara kuwa mtoto yupo salma na mwenye afya njema. Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 16-02-2023-09:45:24 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA