SWALI
Sorry nlikua naomba kuuliza kuharisha kinyesi cheusi inaweza kusababishwa na nn
Swali No. 538
JIBU
Huwenda ni vyakula ulivyokula siku iliyopita.
Ikiwa cheusi sana kikiambatana na harufu kali huwenda ni shida ya tumboni. Lamda vidonda ambavyo vinatia damu
Pia kuna baadhi ya dawa husababisha kinyesi kuwa cheusi
Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 27-02-2023-09:16:24 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nicheki Nicheki WhatsApp