IJUE DAWA YA LIGNOCAINE


image


Posti hii inahusu zaidi dawa ya lignocaine kama mojawapo ya Dawa ambayo utumika wakati wa upasuaji.


1.lignocaine  ni  mojawapo ya dawa ambayo utumika wakati wa upasuaji ambapo uzuia mgonjwa asisikie maumivu makali wakati wa kufanyiwa upasuaji  hii dawa uchomwa kwenye sehemu ambayo imeandaliwa kwa ajili ya upasuaji, kwa hiyo sehemu nyingine za mwili zinakuwa kawaida kwa hiyo hii dawa utuliza maumivu kwa mgonjwa.

 

2. Hii dawa ufanya kazi kwa kuzuia mfumo wa Neva kwa kuzuia sehemu ya juu ya ngozi kutoruhusu sodium ambayo usababisha ujumbe kuenea sehemu mbalimbali za mwili kwenye mfumo wa kusafilisha ujumbe, kwa kuwepo dawa hii ya lignocaine kwenye sehemu yoyote ya mwili kitendo Cha usafilishaji wa ujumbe usimama na mtu hawezi kusikia maumivu mpaka pale kiwango Cha dawa kitakapoisha ndipo mtu anaweza kuhisi maumivu.

 

3. Hii dawa inaweza kutumiwa na mtu yeyote ambaye Hana allergies na dawa hii lakini mtu kama ana allergies nayo hasitumie anaweza kutumia dawa nyingine kama vile dawa ambazo zipo kwenye kundi la ester ambazo ni procaine and cocaine au anaweza kututumia prilocaine badala ya lignocaine lakini wasio na shida ya lignocaine wanaweza kutumia dawa hiyo kwa sababu ndo inatumika sana na inapatikana kwa urahisi kuliko dawa nyingine  kambazi utumika kwenye operation ya sehemu husika.

 

4. Pamoja na matumizi ya dawa hii ya lignocaine Kuna maudhi madogo madogo kwa Sababu ya matokeo ya dawa, ni kama vile kutojielewa kwa mgonjwa hali hii utokea zaidi iwapo kiwango Cha dawa kimekuwa kingi kuliko kawaida, kuwa na ganzi kwa sehemu husika kutotumia kwa mgonjwa kutotulia kwa mgonjwa  pengine mgonjwa anaweza kupata degedege Ila hii utokea kama dawa iliyochomwa kwa Mgonjwa ni nyingi na pengine mgonjwa anaweza kuzimia, kwa hiyo hii ni dawa ambayo utolewa hospitalini sio kuitumia pasipo na uangalizi wa wataalamu wa afya.

 

5. Kwa hiyo hii dawa ni muhimu mgonjwa haipate akiwa hospitalini kw sababu Kuna watu wanajifanywa anajua ukiitumia vijijibi mtu anaweza kupata shida wahi hospitalini kwa ajili ya matatizo makubwa zaigi.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    2 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    5 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    6 Magonjwa na afya    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Kazi za chanjo ya polio
Posti hii inahusu zaidi kazi ya chanjo za polio na kazi zake,hii ni chanjo ambayo unazuia maambukizi ya Virusi vinavyosababisha polio. Soma Zaidi...

image Fahamu dawa za 5-fluorouracil,Tegafur na uracili
Post hii inahusu zaidi dawa za 5-fluorouracil, Tegafur na uracili katika kupambana na kansa. Soma Zaidi...

image Fahamu kuhusu dawa ya fluoroquinolones/quinolones
Post hii inahusu dawa ya kupambana na bakteria, hili kundi la fluoroquinolones lina dawa kuu mbili ambazo ni ciprofloxin na ofloxacin. Soma Zaidi...

image Fahamu matumizi ya Dawa iitwayo Aspirin.
Aspirini Ni dawa ya kutuliza maumivu.Majina yanayoaminika zaidi katika kutuliza maumivu sasa yanapatikana kwa njia mbadala inayookoa gharama kwa kutumia Aspirini. Aspirini inayopendwa na familia kwa miongo kadhaa, mara nyingi hutumiwa kupunguza maumivu ya kichwa, maumivu ya homa, na uvimbe wa mwili. Maumivu yanapotokea, fikia uaminifu wa familia ya madawa ya kulevya zaidi na Aspirin. Soma Zaidi...

image Fahamu dawa za kutuliza aleji au mzio
Post hii inahusu zaidi dawa hydrocortisone kwa kutuliza aleji au mzio, kwa kawaida Kuna mda mtu anapotumia dawa Fulani anakuwa na mabadiliko mbalimbali kama vile kifua kubana , viupele na mambo kama hayo. Soma Zaidi...

image Fahamu dawa ya kuzuia enzymes zinazotengenezwa na bakteria
Post hii inahusu zaidi dawa ya cloxacillin ambayo Iko kwenye kundi mojawapo la penicillin ambalo uzuia enzymes zinazotengenezwa na bakteria. Soma Zaidi...

image Fahamu dawa ya carvedilo katika matibabu ya magonjwa ya moyo
Post hii inahusu zaidi dawa ya carvedilo katika matibabu ya magonjwa, ni mojawapo ya dawa kwenye kundi la beta blockers na pia uhusika katika matibabu ya magonjwa ya moyo kama nyingine. Soma Zaidi...

image Fahamu tiba ya jino
Post hii inahusu zaidi tiba ya jino,ni tiba ya kawaida kwa watu walio na matatizo ya meno, kwa kawaida tunafahamu kwamba jino huwa halina dawa ila dawa yake huwa ni kungoa lakini Leo nawaletea habari njema kwamba jino sio kungoa tena ila Kuna tiba ambayo utolewa na jino haliwezi kuuma , kufa ganzi au kutoboka kwa hiyo ifuatavyo ni tiba ya jino. Soma Zaidi...

image Fahamu kuhusu dawa ya ketoconazole.
Post hii inahusu zaidi dawa aina ya ketoconazole ni dawa inayotumika kutibu fangasi za kwenye koo. Soma Zaidi...

image Fahamu dawa ya sulfonamide dawa inayopambana na maambukizi ya bakteria mwilini.
Post hii inahusu zaidi dawa ya sulphonamide ni mojawapo ya dawa ambayo usaidia kutibu magonjwa mbalimbali yanayosababishwa na bakteria ni dawa au antibiotics ya mda mrefu na pia matumizi yake sio makubwa sana kwa sababu ya kuwepo kwa antibiotics zenye nguvu zaidi kuliko yenyewe,lakina dawa nyingine zikishindikana yenyewe bado inatumika na watu wanapona. Soma Zaidi...