picha
SIFA ZA WANAFIKI ZILIZOTAJWA KATIKA SURAT AT-TAWBAH

Mwenyezi Mungu amekuwia radhi (amekusamehe).
picha
SIFA ZA WUAMINI ZILIZOTAJWA KATIKA SURAT AL-MA'AARIJ

Kwa hakika binaadamu ameumbwa, hali ya kuwa mwenye pap atiko.
picha
SIFA ZA WANAFIKI ZILIZOTAJWA KATIKA SURAT HASHIR

Huwaoni wale wanafiki wanawaambia ndugu zao walio makafiri miongoni mwa watu waliopewa Kitabu (kabla yenu) Mayahudi (Wanawaambia): "Kama mkitolewa, (mkifukuzwa hapa) tutaondoka pamoja nanyi, wala hat utamtii yoyote kabisa juu yenu.
picha
SIFA ZA WAUMINI ZILIZOTAJWA KATIKA SURAT ASH-SHUURA

“Basi vyote hivi mlivyopewa ni starehe ya maisha ya dunia tu, lakini kilicho kwa Mwenyezi Mungu ni bora na cha kudumu (milele).
picha
YUSUFU(A.S.) AKUTANA NA NDUGU ZAKE

Njaa ilitokea na ikawa hapana sehemu nyingine yoyote yenye chakula ila Misri.
picha
SIFA ZA WAUMINI ZILIZOTAJWA KATIKA SURAT AHZAB

Bila shaka wanaume wenye kufuata vizuri nguzo za Uislamu, na wanawake wanaozifuata vizuri nguzo za Uislamu, na wanaume wanaoamini vizuri nguzo za Imani, na wanawake wanaoamini vizuri nguzo za Imani, na wanaume wanaotii, na wanawake wanaotii, na wanaume wa
picha
SIFA ZA WANAFIKI ZILIZOTAJA KATIKA SURAT AN-NISAA (4:60-63, 88, 138-145)

Huwaoni wale wanaodai kwamba wameamini yale yaliyoteremshwa kwako na yaliyoteremshwa kabla yako?
picha
SIFA ZA WAUMINI ZILIZOTAJWA KATIKA SURAT AS-SAJIDA

Nao husema (kwa maskhara): "Je, tutakapopotea katika ardhi, (tukageuka mchanga) ndio tutarudishwa katika umbo jipya?
picha
SIFA ZA WANAFIKI ZILIZOTAJWA KATIKA SURAT AL-IMRAN

Na kuwapambanua wale waliokuwa wanafiki.
picha
SIFA ZA WANAFIKI ZILIZOTAJWA KATIKA SURAT AL-BAQARAH

Na katika watu, wako (wanafiki) wasemao: "Tumemwamini Mwenyezi Mungu na siku ya mwisho"; na hali ya kuwa wao si wenye kuamini.
picha
MAFUNZO YATOKANAYO NA HISTORIA YA NABII AYYUUB(A.S)

Kutokana na kisha hiki cha Nabii Ayyuub(a.
picha
YUSUFU(A.S) ATUPWA AFUNGWA GEREZANI

Mkewe Al-Aziz hakumkatia tamaa Yusufu(a.
picha
MUHUTASARI WA SIFA ZA WANAFIKI

Kwa kuzingatia aya zote tulizozipitia juu ya wanafikitunaweza kutoa majumuisho ya sifa za wanafiki kama ifuatavyo:- (1)Hutenda kinyume cha imani wanaodai kuwa nayo.
picha
MAFUNZO YATOKANAYO NA HISTORIA YA ADAM(A.S)

(i) Utukufu wa mtu katika Uislamu hautokani na nasaba, rangi,kabila,utajiri ila uwajibikaji kwa Allah(s.
picha
IJUWE DUA YA AYYUUB(A.S)

Nabii Ayyuub(a.
picha
YUSUFU AOKOTWA NA KUUZWA NCHINI MISRI

Huko nyuma wapita njia walikisogelea kisima kwa lengo la kuteka maji.
picha
NJAMA ZA KUMUUA NABII YUSUFU(A.S)

Kwa tabia zake njema Yusufu(a.



Page 19 of 196

Kuhusu Bongoclass


image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.