Mitume waliosimuliwa katika Qur-an ni hawa ishirini na tano (25) wafuatao:
Adam (a.
Mitume waliosimuliwa katika Qur-an ni hawa ishirini na tano (25) wafuatao:
Adam (a.s)
Idrisa ( Enock)(a.s)
Nuhu (Noah)(a.s)
Hud (Heber) (a.s)
Salih (Metheusaleh) (a.s)
Ibrahim (Abrahim) (a.s)
Lut (Lot) (a.s)
Ismail (Ismael) (a.s)
Is-haq (Isaac) (a.s)
Yaaqub (Jacob) (a.s)
Yusuf (Joseph) (a.s)
Shu’aib (Jethro) (a.s)
Ayyub (Job) (a.s)
Mussa (Moses) (a.s)
Harun (Aaron) (a.s)
Dhul kifl (Ezekiel) (a.s)
Daud ( David) (a.s)
Sulayman (Solomon) (a.s)
Ilyaas (Elias) (a.s)
Al – Yassa’ (Elisha) (a.s)
Yunus (Johah) (a.s)
Zakariya (Zechariah) (a.s)
Yahya (John the Baptist) (a.s)
Isa (Jesus) (a.s)
Muhammad (s.a.w)
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉2 Madrasa kiganjani 👉3 ai web app 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina
Post zinazofanana:
KAZI ZA MALAIKA
Malaika wamepewa kazi ya kumtumikia Allah(SW) kwa kumtukuza na kumtakasa, kama wanavyosema wenyewe:Hakuna yoyote miongoni mwetu ila anapo mahali pake mahususi.
Soma Zaidi...NJIA ZA KUMJUA MWENYEZI MUNGU (S.W)
Zifuatazo ni njia nyingi za kumjua Mwenyezi Mungu (EDK form 2:dhana ya elimu katika uislamu)
Soma Zaidi...