picha

Zoezi 2:2

Zoezi 2:2

Zoezi 2:2




1.Malaika ni




2.Toa tofauti nne (4) zilizopo kati ya Malaika na binaadamu.




3.Orodhesha kazi kumi (10) za malaika zenye mahusiano na bin a adam u.




4.Muumini wa kweli wa Malaika ni yule anayefanya yafuatayo:-(a) (b) (c) (d)




5.Taja vitabu vinne (4) vya Allah (s.w) vilivyohadithiwa katika Qur-an na Mitume walioshushiwa.




6.Len go la kushushwa vitabu vya Allah (s.w) ni




7.“Hakika ni juu yetu kutoa mwongozo.” (92:12) Pamoja na binaadamu kupewa akili na elimu hana uwezo wa kujiundia njia sahihi ya maisha kwa sababu zifuatazo:
(a)
(a)
(b)



8.Toa tofauti nne (4) zilizopo kati ya Qur-an na vitabu vingine vya Allah (s.w).




9.Muumini wa kweli wa Qur-an ni yule anayefanya yafuatayo:
(a)
(b)



10.(a) Mitume wa Allah (s.w) ni
(b) Mitume wameletwa ili
(c)Waumini wa kweli wa Mitume wa Allah (s.w) ni wale wenye tabia zifuatayo:
(i)
(ii)
(iii)
(iv)




                   


Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Jifunze Main: Post File: Download PDF Views 1439

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio     👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉3 Dua za Mitume na Manabii     👉4 Kitabu cha Afya     👉5 web hosting     👉6 ai web app    

Post zinazofanana:

Uhakiki wa hadithi za mtume

Sunnah na hadithi (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

Soma Zaidi...
jamii somo la 35

Hutekeleza ahadi zao wanapoahidiana na wanaadamu wenziwao maadamu ni katika mipaka ya Allah (s.

Soma Zaidi...